kuna mmama nimemuwekea salio wakafyeka lote kuwapigia wanasema kajiunga na huduma 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu baadae unaanza kukatwa pesa, ukiuliza unaambiwa ulijiubga na huduma za vichekesho..
Sio poa, walishanifanyia hivo nilikua sijajiunga na huduma na simu yangu hakuna anayeishika, nikawauliza muda niliojiunga wakanitajia ilikua jana yake saa kumi na huo muda nilikua nimelalakuna mmama nimemuwekea salio wakafyeka lote kuwapigia wanasema kajiunga na huduma 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣