Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Apr 21, 2025 #1 Kuna shida za SMS ambazo zinakuja kuchagua huduma zozote ambazo sio hitaji lako. Kwa wasio waelewa wanaweza kujikuta wanaingia makubariano bila kujua na ili bado TCRA imekaa kimya.
Kuna shida za SMS ambazo zinakuja kuchagua huduma zozote ambazo sio hitaji lako. Kwa wasio waelewa wanaweza kujikuta wanaingia makubariano bila kujua na ili bado TCRA imekaa kimya.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,956 Reaction score 47,046 Apr 21, 2025 #2 Halafu baadae unaanza kukatwa pesa, ukiuliza unaambiwa ulijiubga na huduma za vichekesho..
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,832 Reaction score 13,664 Apr 21, 2025 #3 FRANCIS DA DON said: Halafu baadae unaanza kukatwa pesa, ukiuliza unaambiwa ulijiubga na huduma za vichekesho.. Click to expand... kuna mmama nimemuwekea salio wakafyeka lote kuwapigia wanasema kajiunga na huduma 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
FRANCIS DA DON said: Halafu baadae unaanza kukatwa pesa, ukiuliza unaambiwa ulijiubga na huduma za vichekesho.. Click to expand... kuna mmama nimemuwekea salio wakafyeka lote kuwapigia wanasema kajiunga na huduma 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Top for B JF-Expert Member Joined Mar 4, 2023 Posts 1,347 Reaction score 4,661 Apr 21, 2025 #4 shibela said: kuna mmama nimemuwekea salio wakafyeka lote kuwapigia wanasema kajiunga na huduma 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Sio poa, walishanifanyia hivo nilikua sijajiunga na huduma na simu yangu hakuna anayeishika, nikawauliza muda niliojiunga wakanitajia ilikua jana yake saa kumi na huo muda nilikua nimelala
shibela said: kuna mmama nimemuwekea salio wakafyeka lote kuwapigia wanasema kajiunga na huduma 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Sio poa, walishanifanyia hivo nilikua sijajiunga na huduma na simu yangu hakuna anayeishika, nikawauliza muda niliojiunga wakanitajia ilikua jana yake saa kumi na huo muda nilikua nimelala
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,010 Apr 21, 2025 #5 Najazia ...hizo push ussd za voda hao huu ni ujambazi,,hii nchi kila mtu ni kibaka