mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Mimi kero yangu...ni majirani wa kike...tena ni wake za watu....Mimi naishi bachelor tu na Mdogo wng wa kiume....nyumba nzima kimara.......kero ni kwamba siku akija DEMU WANGU...wale wanawake watatoka milangoni au watachungulia MADIRISHANI...hadi DEMU wangu kashtukia hilo....au utasikia VICHEKO VYA kiumbea...nishawaambia waume ZAO lakini bado hawasikii..na sina niliyemtongoza hata mmoja...au kama hawatapata bahati ya kumuona wakati anaingia basi watahakikisha akiwa anatoka lazima wawepo...wamsindikize na macho...yaani ni balaa