Kero vituko na vioja vya majirani

Kero vituko na vioja vya majirani

Mimi kero yangu...ni majirani wa kike...tena ni wake za watu....Mimi naishi bachelor tu na Mdogo wng wa kiume....nyumba nzima kimara.......kero ni kwamba siku akija DEMU WANGU...wale wanawake watatoka milangoni au watachungulia MADIRISHANI...hadi DEMU wangu kashtukia hilo....au utasikia VICHEKO VYA kiumbea...nishawaambia waume ZAO lakini bado hawasikii..na sina niliyemtongoza hata mmoja...au kama hawatapata bahati ya kumuona wakati anaingia basi watahakikisha akiwa anatoka lazima wawepo...wamsindikize na macho...yaani ni balaa
 
Mm uwa ni kero kwa majirani wangu ninapo ishi ni karibu sana na msikiti ukizunguka nyuma tu ya nyumba msikiti upo na majirani wote ni waislam mm uwa na kerwa sana na adhana nilichofanya nimenunua redio nimeunga na spika za kwanzia asubuhi paka asubuhi ni kwaya na sauti ni ya mwisho wanatamani ata waniamishe ila wameshindwa kunakipindi nachoma mauchafu walikuja wakaweka kuruani wakaniambia nimechoma kuruani yao wakataka kuchoma nyumba wakashindwa wamenikomoa walikuja wakaiba redio yangu nipo najipanga ninunue nyingine mto uwe ule ule ikiwezekana niazishe na maombi ya usiku kwangu
Mh vita yako nahao watu kali sana !! Kwenye mambo ya dini hao viumbe nawaogopa kweli!
 
Mimi kero yangu...ni majirani wa kike...tena ni wake za watu....Mimi naishi bachelor tu na Mdogo wng wa kiume....nyumba nzima kimara.......kero ni kwamba siku akija DEMU WANGU...wale wanawake watatoka milangoni au watachungulia MADIRISHANI...hadi DEMU wangu kashtukia hilo....au utasikia VICHEKO VYA kiumbea...nishawaambia waume ZAO lakini bado hawasikii..na sina niliyemtongoza hata mmoja...au kama hawatapata bahati ya kumuona wakati anaingia basi watahakikisha akiwa anatoka lazima wawepo...wamsindikize na macho...yaani ni balaa
Hili nikama limejaa karibia sehemu kibao.. Kwakweli Hata mimi nina tabia hio ya kusindikiza kwa macho..tena namwita na shogangu mmoja nae ni jiraniiiiiiii haha baadae tunateta kidogo tunachekaaaa
 
Duu..haswa mnakuwa mnafaudika na nn?au nn unakimiss mpaka uone kama mwnzio anafaidi?
 
Wala sikwamba tunakua tumemis kitu basi tu tunajikuta make mida mingine unakuta tumeshinda hom sisi wanawake tu.. Tumezogoa weeeeeeee story zikakata sasa anapopita dada huyo ndo tunaanzia hapo kuzogoa tena
 
Duu..sasa sijuwi nifanyaje..maana nilipokuwa nimepanga magomeni..nilikuwa akija DEMU wangu...ukitaka kutoka unakuta wake wapangaji mwenzangu...au mama mwenye nyumba wamekaa ukumbini wanatia story..au wamekaa tu barazani wakisubiri nitatoka SAA ngapi?.na kimara pia ndio balaa...wanachungulia madirishani kupitia kwny nyumbani ZAO...hii hatari...
 
Back
Top Bottom