Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Tatizo siyo kuongea kilugha...tatizo ni kukosa ustaarabu na kuwasumbua wengine kwa kuongea kwa nguvu na makelele yenu....mbona kuna makabila yanaongea kilugha sana lakini hawawasumbui watu wengine?
Free dom ya kuongea iko pale pale kama kuna sheria kwenye usafiri aandike watafuata ila kama hakuna ruksa kuongea utakavyo hata hayo makabila hawajakatazwa kuongea kama ni ustaarabu nchi nzima haina ustaarabu nenda kwenye mwendo kasi watu wazima na akili zao wanavyo pigania mlangoni mpaka suruali zina wadondoka utadhani wana safari ya kwenda south africa kwa basi hao nao ni wasukuma... watu wanakojoa kila mahala... kuna siku nilitaka kukanyaga mavi makubwa kwenye lami hapo usalam utadhani tembo kanya kumbe mavi ya mtu huyo naye alikuwa msukuma? Ustaarabu hakuna nchi nzima inabidi wakoloni warudi kutufundisha tena
 
Biggest population in tz
Mungu alitufanya kuwa wengi na kutupa moyo wa kuishi bila kubaguana na bila kunyanyasa makabila mengine. Nakumbuka kipindi nikiwa mdogo sana tulikuwa tunaishi na warundi na wakifikia kuoa mahali zinatolewa kama ilivyo kwa wanafamilia wengine
IMG_20180330_123708.jpg
 
Mungu alitufanya kuwa wengi na kutupa moyo wa kuishi bila kubaguana na bila kunyanyasa makabila mengine. Nakumbuka kipindi nikiwa mdogo sana tulikuwa tunaishi na warundi na wakifikia kuoa mahali zinatolewa kama ilivyo kwa wanafamilia wengineView attachment 734879
Kwa heshima na ukarimu i salute you wasukuma mungu awape maisha marefu wazidi kuifundisha hiyo nchi kuwa utu ni mtaji
 
Bhebhe nkoyi, alitulekhage!!! Yombhaga nan'ho ishikabila shako...nani akulemeja ukhuyombha shikabila shako...
Mledaka kila ng'wene ayuyombha ki-Beyonce Beyonce, ki-Jay Z Jay Z, you know, you know..., na bado mnagombana na grammatical errors, piga kilugha chako na wewe...au pelekeni hoja binafsi bungeni tupigwe marufuku kuongea Kisukuma hadharani...
 
Bhebhe nkoyi, alitulekhage!!! Yombhaga nan'ho ishikabila shako...nani akulemeja ukhuyombha shikabila shako...
Mledaka kila ng'wene ayuyombha ki-Beyonce Beyonce, ki-Jay Z Jay Z, you know, you know..., na bado mnagombana na grammatical errors, piga kilugha chako na wewe...au pelekeni hoja binafsi bungeni tupigwe marufuku kuongea Kisukuma hadharani...
Hahahhaha bawilage gete bageshi...baje bagalime na gudima mapori gale mengi
 
Hahahhaha bawilage gete bageshi...baje bagalime na gudima mapori gale mengi
Kila lushiku bhaleyombelwa basukuma duhu, twana twa mujini twenutu tulihaya kugaya mashima buli...!!! nibhajage ku ngese mbula jya nzumbi jilendela kutula balekhe kwisusa susa lunyili na kutula kelele mwenumu...
 
Kila lushiku bhaleyombelwa basukuma duhu, twana twa mujini twenutu tulihaya kugaya mashima buli...!!! nibhajage ku ngese mbula jya nzumbi jilendela kutula balekhe kwisusa susa lunyili na kutula kelele mwenumu...
Hahahhahahahhaa
 
sasa hipend unapenda waongee lugha yako we jinga kweli aise daaaa
 
We mleta maada hujui ya kuwa kiswahili ni kibantu?.

Halafu kuongea kilugha ni NATURE. are u trying to fight with nature??????
 
Kwa akili ya msukuma kama wa Shy. Ni haki yake kuongea kisukuma pahala popote. Imagine ukiwa Shy ukienda kusini Tabora utaongea kisukuma au kinyamwezi ambacho ni kisukuma kilichoendelea. Ukienda magh. Yaani Geita. Chato. Biharamulo lugha ni kipush. Kaskazini yaani Mwanza na Magu mpaka mara ni kipush. Ukienda mash yaani Simiyu ni kisukuma. Msukuma kumbuka hajatembea mbali. Yeye akienda mbali ni Sumbawanga kuchunga halafu anatembea porini malishoni yaani mshamba flani hivi. Unategemea kiswahili atakijulia wapi ? Tanga nzima kuna wasukuma 12 Dar es sslaam wako 240 moro wapo 70 waliobaki wote wako Tabora. Singida. Simiyu. Mara. Mwanza. Geita. Kagera na Shy.

Hebu toa upumbavu wako hapa nani kakupa hizo takwimu?
 
Nilikua nakuchokonoa mtani. Unajua nyie ni watoto wangu. Ndio maana kwetu tunasema. Mzigo mzito mpe msukuma abebe. Lkn hili la nusu wa Tz ni wasukuma ni urongo. Tanzania kuna wasukuma na wanyamwezi na wanyantuzu lakhi nane na ushee tu.
Laki nane? Jidanganye
 
Wakuu,

Natumai asubuhi ipo murua kwenu,

Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.

Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.

Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.

Mnaudhi sana nyie jamaa.


Wahaya na ndugu zao Wanyambo ndiyo wanaaongoza yaani mpaka unawakimbia kiaina. Utakuta mmekaa sehemu na mshikaji then anakuja wa kabila lake, basi hapo ni lugha tupu. Watazungumza kilugha as if you are not there huku wakijichekesha, then utawasikia mshikaji mbona huongei. Bullshit!
 
Back
Top Bottom