Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] acheni zenu nyinyi, acha tuongee lugha yetu kwani nyinyi mmezuiliwa kuongea ebooo..!! Onywanebhe
 
Ni fahari zaidi kuongea lugha ya kwenu.tatizo ni hizi kabila ndogo ndogo hazitaki zijulikane asili yake kabisa.
 
Upo mkoa gani tuanzie hapo.
Kwa sababu mimi niko kwetu upareni ila sijaona hayo unayoyasema
 
Awamu hii wasukuma tumeandamwa sana. Wewe mama achana na wasukuma, tafuta hela.
 
Awamu hii wasukuma tumeandamwa sana. Wewe mama achana na wasukuma, tafuta hela.
Bora umesema mkuu![emoji4][emoji4][emoji4] Wakati mwingine ni wivu tu yaani mtu kuongea kisukuma inakukera vipi sasa. Kama ww ni muha ongea kiha mtuache na lugha yetu ebooo[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Olemana, pye a mamunho gatohaya koyomba sha kokaya yabwo gale machilochilo gete.

Onene nolo nale ma Subway ga New York City, olo nombona nsumba wane wa kaya gete, atehoo mno wakuniwela gekeatohaya niyombe mamihayo ga kaya ShiSukuma.

Hagayaaa.

Mtizoeta mamihayo kebi henaha.

Obise toyomba Shiingereza, mamihayo ga baswahili, Shilatini, ateho mbehi kotowela mamihayo ga kebi henaha.
 
Olemana, pye a mamunho gatohaya koyomba sha kokaya yabwo gale machilochilo gete.

Onene nolo nale ma Subway ga New York, olo nombona nsumba wane wa kaya gete, atehoo mno wakuniwela gekeatohaya niyombe mamihayo ga kaya ShiSukuma.

Hagayaaa.

Mtizoeta mamihayo kebi henaha.

Obise toyomba Shiingereza, mamihayo ga baswahili, Shilatini, ateho mbehi kotowela mamihayo ga kebi henaha.
Ogumala ngikilu, onene nuru kariakoo ulunusanja nawagukaya kushipula duhu ...chuuuu bhing'we yomba ningw'e shakubingw'we mtulekere shise[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Olemana, pye a mamunho gatohaya koyomba sha kokaya yabwo gale machilochilo gete.

Onene nolo nale ma Subway ga New York City, olo nombona nsumba wane wa kaya gete, atehoo mno wakuniwela gekeatohaya niyombe mamihayo ga kaya ShiSukuma.

Hagayaaa.

Mtizoeta mamihayo kebi henaha.

Obise toyomba Shiingereza, mamihayo ga baswahili, Shilatini, ateho mbehi kotowela mamihayo ga kebi henaha.
Gate ule wa gukaya? Namanile ule nswahili!
 
Wasukuma tangia Nzilenkende haingie madarakani wamejisahau sana.
 
Ndio wenye nchi sasa, na ndio kabila lenye watu wengi aftica mashariki nzima.....wacha wajinafasi, mukulu mwenyewe anabonga kilugha magogoni
 
Gate ule wa gukaya? Namanile ule nswahili!
Onene pye kwenuko kaya, omayo ale wa ngh'wani gete,guku wane ha ng'wa mayo habanamhala bazengi ba Azania Front 1903.

O wise wane ale mno wa kwenuko pande ja Ng'wanza. Nohaya, yee, o ngosha gete gete alangwe hakaya koyomba shisukuma.Amanye pye mamihayo ga banamhala mu shisukuma,basumba batale, mabina, pye mamihayo ga kaya, mu shisukuma.

Aleyo, galeko mang'ingwana getaga buchilochilo gete nyambiti. Gatamanile nolo kohaya mamihayo ga kaya yabwo.

Lekagimamihayo ga chilo chilo genago babehi.Ite chiza.

Obise twalangwa kaya gete gete koyomba shisukuma, kogesha banamhala, koyomba na baniisale, kweta mamilemo chiza, koyomba no bazunya mamihayo ga Seba akojiwe makanza chiza.

Aleyo galeho mang'ingwana gatotogwile mamihayo nyalali genaga gete gete?
 
Wanaboa kinyama alafu wana roho mbaya..wasukuma huwa nawapenda sana

Haswa kwenye chakula. Msukuma kwenye chakula hana choyo wala roho mbaya. Tatizo letu (ingawa inabadilika kidogo kidogo siku hizi), tutakuwezesha kula tu, ila kukuwezesha ili uweze kupata kula kwa nguvu zako, ni kasheshe. Msukuma anatakupa samaki, lakini siyo namna ya wewe kuvua samaki mwenyewe.
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bagosha...
 
Wasukuma tangia Nzilenkende haingie madarakani wamejisahau sana.
Wamejisahau kivipi na wewe wakati kuongea kilugha ni jadi yetu. Nimesema nyie ndiyo limbukeni mnaohama kwenda kuishi mjini, kuiga lafudhi za kizanzibari na kujidai mmesahau lugha yenu.
Ukiwa na jambo na mwenzio mnanena kwa kiingera ili kujionyesha kuwa mmesoma sana kama ujuha wenu unawasumbua.
Bro kiswahili ni KIBANTU.
WAMASAI MBONA KILA ENEO WANAKUNG'UTA KIMASAI hilo hamjaliona tena walio wengi hata kiswahili hawakifahamu nao wanajidai kwa kuwa prezdaa ni magu?. Acheni limbukeni yenu nyie watoto
 
Matatizo ya kutokuwa makini mwl anapofundisha matokeo yake ni haya. Mtu anaona fahari kuzungumza kabila lake kuliko msukuma kuongea kisukuma. Completely UJUHA.

Nb: kama huna kabila we si mtanzania tena si mwafrika.
 
Hiyo lugha unayotaka waongee wala sio lugha yao,kama wanaongea wenyewe kwa wenyewe wala sio tatizo,mbaya kama wataongea na asiyejua hiyo lugha
 
Back
Top Bottom