Hhii nchi haina mipaka ya matumizi ya lugha na si kila ndugu yako anaweza kuongea kiswahili fasaha. Unapoleta maada ufikirie kuna wenye akili zaidi yako.tupo tunaoishi mikoa mingine lakini tunasemeshwa kwa lugha ya wenyeji pia, ingekuwa kero thread km hii zingekuwa nyingi. Msukuma ni mtu asiyependa kujionyesha kuwa amesoma sana hivyo lugha mama kwake ni jadi. Mbona huzungumzii wamasai, wanyaturu, wasambaa na wapare hata wachanga. Ni kwasababu huna exposure. Nahisi unajisikia fahari kuongea lugha yako kuliko msukuma kutumia lugha yake ufinyu wa akili huo. Nyie ndo mkihamia mjini ukirudi kwenu unajidai hujui kilugha chenu. Ulitaka kisukuma kizungumzwe na nani kama si msukuma na km hutaki watumie kisukuma basi go and fight with nature.....Wakuu,
Natumai asubuhi ipo murua kwenu,
Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.
Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.
Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.
Mnaudhi sana nyie jamaa.
Nb. Wamasai wao hata kiswahili chako hawajui. Unahitaji kurudi darasani wewe umkaririshwa ile tabia ya kuvalishana kengele kwa kuongea lugha nje ya kizungu.