Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Tatizo siyo kuongea kilugha...tatizo ni kukosa ustaarabu na kuwasumbua wengine kwa kuongea kwa nguvu na makelele yenu....mbona kuna makabila yanaongea kilugha sana lakini hawawasumbui watu wengine?
Free dom ya kuongea iko pale pale kama kuna sheria kwenye usafiri aandike watafuata ila kama hakuna ruksa kuongea utakavyo hata hayo makabila hawajakatazwa kuongea kama ni ustaarabu nchi nzima haina ustaarabu nenda kwenye mwendo kasi watu wazima na akili zao wanavyo pigania mlangoni mpaka suruali zina wadondoka utadhani wana safari ya kwenda south africa kwa basi hao nao ni wasukuma... watu wanakojoa kila mahala... kuna siku nilitaka kukanyaga mavi makubwa kwenye lami hapo usalam utadhani tembo kanya kumbe mavi ya mtu huyo naye alikuwa msukuma? Ustaarabu hakuna nchi nzima inabidi wakoloni warudi kutufundisha tena
 
Kwa heshima na ukarimu i salute you wasukuma mungu awape maisha marefu wazidi kuifundisha hiyo nchi kuwa utu ni mtaji
 
Bhebhe nkoyi, alitulekhage!!! Yombhaga nan'ho ishikabila shako...nani akulemeja ukhuyombha shikabila shako...
Mledaka kila ng'wene ayuyombha ki-Beyonce Beyonce, ki-Jay Z Jay Z, you know, you know..., na bado mnagombana na grammatical errors, piga kilugha chako na wewe...au pelekeni hoja binafsi bungeni tupigwe marufuku kuongea Kisukuma hadharani...
 
Hahahhaha bawilage gete bageshi...baje bagalime na gudima mapori gale mengi
 
Hahahhaha bawilage gete bageshi...baje bagalime na gudima mapori gale mengi
Kila lushiku bhaleyombelwa basukuma duhu, twana twa mujini twenutu tulihaya kugaya mashima buli...!!! nibhajage ku ngese mbula jya nzumbi jilendela kutula balekhe kwisusa susa lunyili na kutula kelele mwenumu...
 
Kila lushiku bhaleyombelwa basukuma duhu, twana twa mujini twenutu tulihaya kugaya mashima buli...!!! nibhajage ku ngese mbula jya nzumbi jilendela kutula balekhe kwisusa susa lunyili na kutula kelele mwenumu...
Hahahhahahahhaa
 
sasa hipend unapenda waongee lugha yako we jinga kweli aise daaaa
 
We mleta maada hujui ya kuwa kiswahili ni kibantu?.

Halafu kuongea kilugha ni NATURE. are u trying to fight with nature??????
 

Hebu toa upumbavu wako hapa nani kakupa hizo takwimu?
 
Nilikua nakuchokonoa mtani. Unajua nyie ni watoto wangu. Ndio maana kwetu tunasema. Mzigo mzito mpe msukuma abebe. Lkn hili la nusu wa Tz ni wasukuma ni urongo. Tanzania kuna wasukuma na wanyamwezi na wanyantuzu lakhi nane na ushee tu.
Laki nane? Jidanganye
 


Wahaya na ndugu zao Wanyambo ndiyo wanaaongoza yaani mpaka unawakimbia kiaina. Utakuta mmekaa sehemu na mshikaji then anakuja wa kabila lake, basi hapo ni lugha tupu. Watazungumza kilugha as if you are not there huku wakijichekesha, then utawasikia mshikaji mbona huongei. Bullshit!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…