Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Na wewe ongea kichaga chako!! Unaona aibu kuongea lugha yako? Asiyependa mila yake ikiwemo lugha yake huyo ni mtumwa wa akili...!
 
Nikifundishe, kistaarabu kama uko na mtu wa kabila lingine, umepigiwa simu na asiyeongea kiswahili, OMBA KUM CALL BACK! Si adabu umekaa mezani na mtu then unamwaga kilugha kwenye simu! Hata duniani nchi za watu ndivyo ilivyo baba! It’s called RESPECT kwa ulienae mbele yako.
Mie una date nami halafu umekaa kwenye simu unamwaga utumbo wako wa kilugha zaidi ya dakika 2, nakuacha mezani ule na lugha yako.
 
Yes nipo ndani ya bus mida hii natoka Mwanza, nipo na wadogo zangu wawili kwenye bus mpaka wamezima hizi TV.
Mimi ni msukuma but siwapendi wasukuma washamba kama huyu jamaa yenu
 
Yes nipo ndani ya bus mida hii natoka Mwanza, nipo na wadogo zangu wawili kwenye bus mpaka wamezima hizi TV.
Mimi ni msukuma but siwapendi wasukuma washamba kama huyu jamaa yenu
Mbona hueleweki
 
Yes nipo ndani ya bus mida hii natoka Mwanza, nipo na wadogo zangu wawili kwenye bus mpaka wamezima hizi TV.
Mimi ni msukuma but siwapendi wasukuma washamba kama huyu jamaa yenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kimpango wako
 
Huo unawasumbua ushamba na ulimbukeni tu yaani mi niongee kilugha changu wewe ukereke kwani ukiniacha mi ntaathirika na nini labda utakuwa hujapenda au utakuwa umeshatosheka maana siku hizi nyie mnaangalia pesa tu
 
Inakuhusu nini wewe watu wakiongea lugha yao, kama maongezi hayauhusu unataka usikilize ya nn
 
Na wewe ishindo lyako! kama sio tusi
mmefika huko tena !!! ...bishaneni kwa hoja na si kutukanana ...kwa wale ambao hawajui kisukuma maana ya "shindo lyako" ni "mk....ndu wako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…