Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Ujumbe umefika mkuu kwa walengwa na mlengwa [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na sisi wewe...! Nywanoko. Kabila letu ni starahu sana.Ushamba kwao ndio nyumbani
Sawa bae, lakini kwani tukiongea kilugha tunatoboa sikio la mtu.😎 😎 😎 Mmezidi mno hubby,mpunguze kidogo
Mpunguze kidogo mnawapa kero wenzenuSawa bae, lakini kwani tukiongea kilugha tunatoboa sikio la mtu.
Na wewe ongea kichaga chako!! Unaona aibu kuongea lugha yako? Asiyependa mila yake ikiwemo lugha yake huyo ni mtumwa wa akili...!Wakuu,
Natumai asubuhi ipo murua kwenu,
Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.
Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.
Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.
Mnaudhi sana nyie jamaa.
Na wewe ongea kimachame!!Mpunguze kidogo mnawapa kero wenzenu
Nitaongea na nani na nipo na msukuma ndani?itakuwa lugha gongana 😎 😎Na wewe ongea kimachame!!
Vipi shemeji kaka hajakufundisha tu lugha ya taifa la TZ??!!Nitaongea na nani na nipo na msukuma ndani?itakuwa lugha gongana 😎 😎
Ndo naanza training kidogo kidogoVipi shemeji kaka hajakufundisha tu lugha ya taifa la TZ??!!
Jitahidi gukuone!Ndo naanza training kidogo kidogo
Usiwe mjinga wewe,unatakiwa ujue kuna lugha ambayo mnakuwa mmezoea kuongea na watu wako mfano mzazi wako anakupigia tangu uzaliwe hamjawahi kuongea lugha tofauti na kisukuma anakupigia simu mko sehemu mnakunywa nikuogope wewe nianze kuongea kisw na baba kisa niko na wewe? Ujue mazoea ni kitu kigumu sana........kwa hiyo jaribu kujiongeza ujue kuna familia ambazo huchanganya lugha kisw na lugha ya asili lkn kuna familia ambazo huongea kilugha tu.......kwa hiyo pevuka ndugu usiwe rigid!!
Mbona huelewekiYes nipo ndani ya bus mida hii natoka Mwanza, nipo na wadogo zangu wawili kwenye bus mpaka wamezima hizi TV.
Mimi ni msukuma but siwapendi wasukuma washamba kama huyu jamaa yenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kimpango wakoYes nipo ndani ya bus mida hii natoka Mwanza, nipo na wadogo zangu wawili kwenye bus mpaka wamezima hizi TV.
Mimi ni msukuma but siwapendi wasukuma washamba kama huyu jamaa yenu
Huo unawasumbua ushamba na ulimbukeni tu yaani mi niongee kilugha changu wewe ukereke kwani ukiniacha mi ntaathirika na nini labda utakuwa hujapenda au utakuwa umeshatosheka maana siku hizi nyie mnaangalia pesa tuNikifundishe, kistaarabu kama uko na mtu wa kabila lingine, umepigiwa simu na asiyeongea kiswahili, OMBA KUM CALL BACK! Si adabu umekaa mezani na mtu then unamwaga kilugha kwenye simu! Hata duniani nchi za watu ndivyo ilivyo baba! It’s called RESPECT kwa ulienae mbele yako.
Mie una date nami halafu umekaa kwenye simu unamwaga utumbo wako wa kilugha zaidi ya dakika 2, nakuacha mezani ule na lugha yako.
Nyanoko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] acheni zenu nyinyi, acha tuongee lugha yetu kwani nyinyi mmezuiliwa kuongea ebooo..!! Onywanebhe
mmefika huko tena !!! ...bishaneni kwa hoja na si kutukanana ...kwa wale ambao hawajui kisukuma maana ya "shindo lyako" ni "mk....ndu wako"Na wewe ishindo lyako! kama sio tusi