Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Wakuu,

Natumai asubuhi ipo murua kwenu,

Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.

Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.

Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.

Mnaudhi sana nyie jamaa.
Na wewe ongea kichaga chako!! Unaona aibu kuongea lugha yako? Asiyependa mila yake ikiwemo lugha yake huyo ni mtumwa wa akili...!
 
Usiwe mjinga wewe,unatakiwa ujue kuna lugha ambayo mnakuwa mmezoea kuongea na watu wako mfano mzazi wako anakupigia tangu uzaliwe hamjawahi kuongea lugha tofauti na kisukuma anakupigia simu mko sehemu mnakunywa nikuogope wewe nianze kuongea kisw na baba kisa niko na wewe? Ujue mazoea ni kitu kigumu sana........kwa hiyo jaribu kujiongeza ujue kuna familia ambazo huchanganya lugha kisw na lugha ya asili lkn kuna familia ambazo huongea kilugha tu.......kwa hiyo pevuka ndugu usiwe rigid!!

Nikifundishe, kistaarabu kama uko na mtu wa kabila lingine, umepigiwa simu na asiyeongea kiswahili, OMBA KUM CALL BACK! Si adabu umekaa mezani na mtu then unamwaga kilugha kwenye simu! Hata duniani nchi za watu ndivyo ilivyo baba! It’s called RESPECT kwa ulienae mbele yako.
Mie una date nami halafu umekaa kwenye simu unamwaga utumbo wako wa kilugha zaidi ya dakika 2, nakuacha mezani ule na lugha yako.
 
Yes nipo ndani ya bus mida hii natoka Mwanza, nipo na wadogo zangu wawili kwenye bus mpaka wamezima hizi TV.
Mimi ni msukuma but siwapendi wasukuma washamba kama huyu jamaa yenu
 
Yes nipo ndani ya bus mida hii natoka Mwanza, nipo na wadogo zangu wawili kwenye bus mpaka wamezima hizi TV.
Mimi ni msukuma but siwapendi wasukuma washamba kama huyu jamaa yenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kimpango wako
 
Nikifundishe, kistaarabu kama uko na mtu wa kabila lingine, umepigiwa simu na asiyeongea kiswahili, OMBA KUM CALL BACK! Si adabu umekaa mezani na mtu then unamwaga kilugha kwenye simu! Hata duniani nchi za watu ndivyo ilivyo baba! It’s called RESPECT kwa ulienae mbele yako.
Mie una date nami halafu umekaa kwenye simu unamwaga utumbo wako wa kilugha zaidi ya dakika 2, nakuacha mezani ule na lugha yako.
Huo unawasumbua ushamba na ulimbukeni tu yaani mi niongee kilugha changu wewe ukereke kwani ukiniacha mi ntaathirika na nini labda utakuwa hujapenda au utakuwa umeshatosheka maana siku hizi nyie mnaangalia pesa tu
 
Inakuhusu nini wewe watu wakiongea lugha yao, kama maongezi hayauhusu unataka usikilize ya nn
 
Na wewe ishindo lyako! kama sio tusi
mmefika huko tena !!! ...bishaneni kwa hoja na si kutukanana ...kwa wale ambao hawajui kisukuma maana ya "shindo lyako" ni "mk....ndu wako"
 
Back
Top Bottom