Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Kuongea ni kuwasiliana au kupeleka na kupokea ujumbe. Kama msukuma anawasiliana na mwenzake na wanaelewana vizuri zaidi kilugha kuna shida gani?
Mtu yeyote hazuiwi kutumia lugha yoyote, mahali popote na wakati wowote isipokuwa tu kama anasumbua wengine.
 
Kama unataka kuoa mwanamke jembe hapa Tanzania. Usiangalie sura. Oa msukuma utakua umepata jiko. Angalizo. Usijeukabambikiwa mnyamwezi utakua umekwisha......
 
Ni kweli kabisa mleta uzi umenena sawia. Kwa mfano hapa Mwanza Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mungu - Buswelu kuna Padre anaitwa Mayunga ni mzaliwa wa hapo Buswelu ila ni Mkuu wa Shule Nyagingi (sijui nimepatia jina) ananikera sana, ana mahubiri mazuri lakini kila baada ya sentensi kadhaa lazima aweke mifano ya kisukuma sie wengine ambao sio wasukuma tunang'aa macho, unashangaa wenzetu wasukuma wanacheka kwa raha zao!!!
Padre Mayunga popote ulipo badilisha tabia yako hiyo ukija Buswelu kupenda kuongea kisukuma lile kanisa ni kubwa usichukulie tu kuwa kwa kuwa wewe ni mzawa basi tena ndio kisukuma muda wote, unakera sana na hicho kisukuma!!!!
 
Wasukuma wako proud na lugha yao
Huwa napenda kujifunza kwa kweli ila huwa nakutana nao kwa nadra sana
Naongea lugha mbalimbali na ninapenda kujifunza zaidi.
Kuna wengine hata lugha yao hawawezi kuunganisha sentensi mbili.
What a shame
 
Wasukuma mbona afadhali alafu wana roho nzuri..!! Ukitaka ukereke zaidi njoo kwa WAHAYA alafu wana roho sio nzuri wanajijali wao kwa wao. Wasukuma wapo fair sana sana
 
Wakuu,

Natumai asubuhi ipo murua kwenu,

Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.

Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.

Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.

Mnaudhi sana nyie jamaa.
Hao jamaa kweli siyo kabisa
 
Wakuu,

Natumai asubuhi ipo murua kwenu,

Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.

Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.

Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.

Mnaudhi sana nyie jamaa.
Hongera we mswahili, acha watu wadumishe mila na desturi zao, wewe iga Uarabu au uzungu, achana na mila za watu, waache waishi wapendavyo, ipo cku utashangilia ndoa ya jinsia moja mana unapenda vitu vipya na ustaarabu wa kuiga, jinga kabisa.
 
Ashakum si matusi,Kwani wasukuma kuongea kisukuma we inakuuma nini mtoto wa kiume ?
ila kama ni wa kike inakuwashia nini haswa ?
lazima tujifunze jambo moja,kama itakukera,funguka na waambie wasiongee lugha usiyoelewa.
kama unachuki na wasukuma tu kwa kuwa sa hivi kuna kiongozi mkubwa ndo kabila hilo sema ukweli dogo.
kama hoja ni kilugha,mbona husemi wachaga,wameru,wamasai na makabila mengine ?
nakaa sehemu yenye wasukuma na makabila mchanganyiko na wote huwa wanaongea kikwao sana,mi nahisi hapo ulipo utakuwa umegombana na wasukuma fulani hivi,au kuna ndoano ulitupa mahali sa akaja kambale akaikata,pole.
kingine katika nchi hii ni upunguani kuzungumza makabila au kuwa na ukabila ndo ujinga mkubwa.
 
Sisi hatuangalii hayo huku kwetu ukijidai kumwaga vihashawa vyako mtoto akizaliwa utakuwa umepoteza wewe! Jembe liwe li-Rundi au li-Nyarwanda maadam limeshajitambulisha kwamba ni li-Sukuma wacha lipige kazi! Na litawakimbiza mpaka mkome!
Sawasawa kabisa. Na mimi nina maslahi na Wasukuma. Nyie ni Mashemeji zangu. Kimsingi mimi nawapenda sana Wasukuma. hawana roho mbaya wala uchoyo hata kidogo. Hawana makuu. Wao ni kazi tu.
 
Kushindwa kuongea yako ya asili huo ni utumwa wa kifikira.

Kama wewe unaona kero kusikia lugha za asili za wenzako peleka mswaada bungeni ili tufute makabila yote yaliyopo ncini.

Nonsense!!! jirani aongee lugha yake yake asili wewe ukereke[emoji15] [emoji15] mbona huoni kero kwa kiswahili, kiingereza, kiarabu, nk au zenyewe sio lugha!!!!

Tanzania tuna safari ndefu na pevu kufikia uchumi wa kati kama kiwango chetu cha kufikiri ndio hiki.
 
Nilikua nakuchokonoa mtani. Unajua nyie ni watoto wangu. Ndio maana kwetu tunasema. Mzigo mzito mpe msukuma abebe. Lkn hili la nusu wa Tz ni wasukuma ni urongo. Tanzania kuna wasukuma na wanyamwezi na wanyantuzu lakhi nane na ushee tu.
Sawa mkuu unaposema mnyantuzu sijui mnyamwezi ni kabila zilizo ndani ya msukuma ukienda hivyo huwezi pata msukuma usukumani kila mmoja anakabila yake iliyondani ya usukuma. Kama Unabishana swala la nusu Tz hujui takwimu mkuu. Jaribu kuhesabu mikoa tu ambayo wapo ful harafu nitakuongezea tafakari ingine. Ila kwakuwa mtani si mbaya
 
Back
Top Bottom