Huku chanika sisi toka saa 3 asubuhi mpaka muda huu hamna umeme!
Kale katakataka pale wizarani sijui kana fanya nini.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Umeme unakatika sana na migao imekuwa mingi, huku nilipo jana na juzi walifanya mgao masaa 12 ya mchana bila taarifa na muda huu umeme umekatikaHilo tatzo kubwa la umeme umeliona wapi.
Umeme ukikatika mtaani kwenu unahisi ni Nchi nzima.
Huku kwetu maeneo ya msikiti wa Bondeni umeme hakuna sijui matengenezo bado !.