Kero ya kukuta mtu kakaa kwenye siti yako ya dirishani kwenye Bus.

Roho mbaya hiyo.. safarini ukikaa na pisi kali huwa inakuwa fupi.! 😂😂😂
 
Hujakaa na pisi kali wewe!! 😂😂
Huo muda wa kutoa earphone unautoa wapi? Watu tuna sauti km za kasuku unatamani nisiache kuongea, unaweza kupitiliza kituo ohhh 😹😹😹
 
Roho mbaya hiyo.. safarini ukikaa na pisi kali huwa inakuwa fupi.! 😂😂😂

Hahahaaaa isingewezekana kukaa nae pamoja, siti ya jirani haikuwa yake yeye alitokea siti namba 33, kweli hata kama roho mbaya hapa acha iwe tu!
 
Niliwahi kumchomoa mama mtu mzima kwenye seat yangu, pamoja na kuniomba ila nikamsisitizia nilichagua seat ya dirishani hvy n lazima nikae dirishani tuu.
 
Mbona kitu kidogo sana, unamwambia tuu akupishe , akikataa au akileta maneno unaita konda
 
Umefanya sawa kabisa.

Next time kata kibao
 
Niliwahi kumchomoa mama mtu mzima kwenye seat yangu, pamoja na kuniomba ila nikamsisitizia nilichagua seat ya dirishani hvy n lazima nikae dirishani tuu.
Makenge ya darajani hayana adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…