Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Mara nying napenda kukaa seat ya dereva ili kuepusha usumbufu kama huu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa kama mtu una safari za mara kwa mara mambo ya siti za dirishani huwazi !🤣🤣Wazowefu wa safari wengi wao huwa hawapendi siti za dirishani, chunguza hilo utakuja niambia! Sasa hawa wasafiri wa kubahatisha huwa wanapenda sana siti za dirishani!!
Uhakika brooKwa kipande hichi, hapa unajiumiza mwenyewe.
Sema unachokitaka
Sikiliza maoni yake
Ita msulihishi, kondakta ....halafu safiri kwa raha zako
Tatizo kubwa sana licha ya kwamba ni jambo ambalo sio la msingi.Kama wewe huwezi kumwambia atoke basi hilo ni tatizo pia.
Namba yenyewe ndiyo ile inaishia 05?Kuna mmoja aliniinua kwenye seat yake bhana, hiyo ya dirishani sikuwa na shida mbeleeeni kabisa akaniomba nikampa namba ya gari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo sio kero, Kero ni pale unapowekwa kwenye seat jirani na bonge nyanya
View attachment 3095583
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabia hiyo wanayo sana wanawake.Na bado kama ana mtoto anakuajiri kwa muda uwe yaya wake.
Mwingine anafanya makusudi anajua utamuonea aibu...Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Ile siti ya dirishani ilikua ya Ruto, sema Ruto akaamua kumuachia Dada yake maana anajua kua wanawake by nature ndiyo wanapenda sana siti za dirishani haijalishi hata kama kawa Rais!!Mama enyewe kule UK alipambabia siti ya dirishani.,, mimi ni nani nikuachie siti yangu
Pisi zenyewe ndo kina wewe zenye akili kuchukua namba kwanza 😄Ila ukikuta pisi kali unatulia 😂😂
Kuna siku nilipanda bus nikakaa siti ya dirishani sio yangu ila jamaa akawa humble na vocha nilinunuliwa acha chakula cha njiani nilifaidi 🤣🤣🤣
Aliomba namba nikamwambia anipe zake tulivyoshuka nikafuta 😹
Hapo ukute safari ni DAR Mwanza au Bukoba unasafiri kwa kinyongo, unajaza sumu mwilini.Unashindwa nini kumwambia yanini kukaa na manun'guniko moyoni
Yani umeniinua kwa mbwembwe na nyodo halafu na namba nikupe!!Namba yenyewe ndiyo ile inaishia 05?
Nimepiga zaidi ya mara 10 haipatikani 😜🙌
Ila ukikuta pisi kali unatulia 😂😂
Kuna siku nilipanda bus nikakaa siti ya dirishani sio yangu ila jamaa akawa humble na vocha nilinunuliwa acha chakula cha njiani nilifaidi 🤣🤣🤣
Aliomba namba nikamwambia anipe zake tulivyoshuka nikafuta 😹