hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 646
- 1,568
garihuna au? nunua ford ranger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuita TU konda wa gari unamuomba akuoneshe siti Yako kama ilivyokwenye tiketi. Kondakta atakuja kumuelewesha kuwa hiyo sio sehemu yake . Kisha atamuonesha anapotakiwa kuketi. Haina haja ya kugombana na jirani Yako ktk safari na mtakua hapo pamoja Kwa muda mrefu,. Muachie hiyo kazi kondaMna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Ya kwangu utanipisha, akili yangu naijua mwenyewe.Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Kuna wanaoanzisha vagi/ugomvi kugombea siti ya dirishani.Mishipa ya shingo inachachamaa kugombea siti ya basi.Huwezi amini mimi zamani nilikuaga kama wewe ila skuizi walaa tena napataga ya dirishani ila mtu akija namwambia kaa dirishani🤣 sijui nmekua! Yani miaka hata 6 /7 nmekua hivyo
Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe ji
Siti ya dirishani sikai hofu kupigwa pasiAnza kwa kumuuliza "samahani seat yako ni namba ngapi?"
Akisema, mwambie yangu ni hii, hivyo umekaa kwenye seat yangu... Au hio sio namba ya seat yako, seat yako ni hii Akibisha muite konda wa gari.
Mbona issue zingine simple tu mzee..
Me huwa namtoa tu mkuu hiyo sio siti yako simama kakae kwako.Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Nina uhakika nikikutana na situation ya mleta mada nitamwambia muhusika anipishe kwenye siti yanguHuwa mi nawaambia anipishe.
Aseee nilishawahi kupewa majukumu ya kulea kwa masaa mengi sana ya ile safariTabia hiyo wanayo sana wanawake.Na bado kama ana mtoto anakuajiri kwa muda uwe yaya wake.