muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Unyonge wa kifala...namwinua tu chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AtotoKuna watu ni visirani tu, mie sitakagi stress. Najikalia zangu kimyaa!
Kwa kipande hichi, hapa unajiumiza mwenyewe.Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ndo kitu huwa nafanyaIta konda akuoneshe siti yako.
SahihiMtu aliyekaa kwenye seat ambayo sio yake anakua amefanya makusudi,na hii ni kukosa ustaarabu na kukosa heshima kwa mwenye seat yake,
So,mtu wa hivyo usimuonee aibu hata siku moja,ukimuignore ndio itakua tabia yake,mchane wazi kabisa kua hiyo seat sio yake na anatakiwa akupishe,kisha acha stori nae mpaka mwisho wa safari coz huyo ni mpumbavu huna cha kuongea nae cha maana.
Kwahiyo we ni pisi kali?Ila ukikuta pisi kali unatulia 😂😂
Kuna siku nilipanda bus nikakaa siti ya dirishani sio yangu ila jamaa akawa humble na vocha nilinunuliwa acha chakula cha njiani nilifaidi 🤣🤣🤣
Aliomba namba nikamwambia anipe zake tulivyoshuka nikafuta 😹
Bro unasumbuliwa waje na vitu vidogo kama hivyo? Kwani, hiyo safari unaenda South Africa, au, ulaya?Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Ujinga wako mwenyewe kushindwa kumuambiaMna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Si unamwambia tu kuwa iyo Siti no ni yako akupishe.Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Unamwambia tu sio kwa ubaya ila ndio siti yako, sasa hapo abiria tu unalalamika je ukijikuta siti moja na mama mwenye watoto je?Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
The issue is very simple man.Anza kwa kumuuliza "samahani seat yako ni namba ngapi?"
Akisema, mwambie yangu ni hii, hivyo umekaa kwenye seat yangu... Au hio sio namba ya seat yako, seat yako ni hii Akibisha muite konda wa gari.
Mbona issue zingine simple tu mzee..
Wazowefu wa safari wengi wao huwa hawapendi siti za dirishani, chunguza hilo utakuja niambia! Sasa hawa wasafiri wa kubahatisha huwa wanapenda sana siti za dirishani!!Siti ya dirishani haitufai watu wenye miguu mirefu bora hata huku upande mwingine unaweza nyoosha miguu !
Binafsi nikikaa dirishani huwa nachoka zaidi.
Hata nikiwa nabook huwa sichukui seat ya dirishani