Kero ya kusubirishwa kupisha msafara ya viongozi barabara za mikoani haivumiliki hakika viongozi mnatuumiza sana kwa hili

kiongozi gani huko kibaha wakati serikali yote iko kwenye mkutano Dodoma
 
Kwani uko duniani USA,China,Uk,Japan nk wanafanyaje ?
Kwanini huwa hawajifunzi vitu kama hivyo huko majuu ?? Inashangaza sana, wenzetu wanasemaga TIME IS MONEY " Sisi tunasemaga vipi vile ?!! " ponda mali kufa kwaja "
 
Mlipoamua kuwa magaidi hamkujua shida itawarudia nyie wenyewe, wananchi wa Tanzania mmekua watu wa hatari sana hamfai kuishi maeneo ya viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…