Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

Siku inayofwata ilikuqa ni siku ya kupiga kwaswida na wewe hukusafiri ndiopo shida ilipo cha msingi wewe safiri kila siku nyimbo zako utazisikia tu
 
Siku inayofwata ilikuqa ni siku ya kupiga kwaswida na wewe hukusafiri ndiopo shida ilipo cha msingi wewe safiri kila siku nyimbo zako utazisikia tu
 
Yenye kaseida mbona yapo mengi mkuu. Ni uchaguzi wako tu.
 
Nashauri Serikali ikataze huu ujinga mara moja kwani hizi nyimbo za injili hazina maana yeyote kwetu wananchi ni bora tu wakapiga nyimbo za kuisifu nchi yetu
 
Shidasjo nyimbo kupigwa tatizo zimekaa kibaguzi kwa kuegemea dini moja kana kwamba ipo moja Tanzania
 
We kilaza umeelewa nilicho quote?
Hapa tuko kueleweshana siyo matusi kama ulikuwa na nia ya kueleweshana ndio hivyo panda gari au usafiri inakuitaji siyo matusi ujui unatukana kuwa mstarabu
 
sasa ulitaka yawekwe mahubir ya shehe kipoozeo akisifia matako?
 
hayo mambo yako huko kwenu ukimani. huku dunia niliyopo hakuna makelele. kelele zozote ukizihitaji plug earbuds zako sikiliza tokea kwa simu yako au soma kitabu. ila watu wa ukimani public transii wanataka makelele eti safari bila hivyo inakua inachosha. ukimani bwana!
 
Ukiona anatajwa Yesu unapandwa na hasira,jua kabisa umekwisha.yaani subiri kukaangwa tu.
 
Zaidi ya hadithi zenu za kale mnazopigiana na vitabu vyenu mlivyoletewa na mkoloni mweupe, hakuna any scientific evidence yeyote ya mtu anayeitwa Jesus christ aliwahi kuishi hii dunia au kufanya miujiza yeyote, mzungu aliwaharibu sana akili
Wewe ni mwehu,hata atheist wenye akili timamu hawapingi ujio wa Yesu,wanapinga Uungu wake,na wanapinga uwepo wa Mungu.

Wao wanaamini tu alipata kutokea mtu mwenye ushawishi mpaka leo,akidaiwa kuwa na miujiza ambayo haina ushahidi,si kwamba hakuwahi kutokea kabisa.
 
Hapa tuko kueleweshana siyo matusi kama ulikuwa na nia ya kueleweshana ndio hivyo panda gari au usafiri inakuitaji siyo matusi ujui unatukana kuwa mstarabu
Ungekuwa mstaarabu usingequote usichokielewa
 
Huna ear phones?
 
Kwani ni dini gani nyingine yenye nyimbo mbali na ukristo?
 
Si hawana akili wanapiga nyimbo inaimba "hallooo mbinguni nataka garii, halloo mbinguni nataka IST"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…