Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

Wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani ni Wakristo .Waislamu ni wachache mno waweza Kuta basi Zima wako wawili tu

Waislamu si watu wa kusafiri mikoani.Hata kwenye ndege za Tanzania wapandaji wengi ni Wakristo
 
Ukiona hivyo ujue injili imekugusa.
 
hivi hayo mabasi yote ni ya wakristu?
kama syo basi jiulize ni kwanini hood ya mwislamu inapiga nyimbo za kwaya, kwanini tashrifu inapiga kwaya.
 
Mkuu😊😊 tatizo Ni nyimbo za dini (KRISTO) au volume ya juu
 
sema ni jambo dogo sana , sioni tatizo ni bora nyimbo ca injili kuliko wanapopiga nyimbo za matusi kabisa.

Kama una simu basi vaa earphone ule maisha
 
hivi hayo mabasi yote ni ya wakristu?
kama syo basi jiulize ni kwanini hood ya mwislamu inapiga nyimbo za kwaya, kwanini tashrifu inapiga kwaya.
Mabasi yanayopiga sana hizo nyimbo ni ya njia ya iringa/ mbeya na Moshi /Arusha sehemu zingine ni nadra sana,
 
Unamatatizo kwani Kuna shida Gani kusafiri kwa upako, hata kaswida wanapiga ila kaswida zipo chache
Mabasi yote yanatakiwa kuwa noice free area. Hivi kupiga nyimbo za injia au kaswida vina uhusiano gani na kutenda mema? Sana sana imekuwa ni sehemu ya kuficha maovu.
 
Binafsi huwa na kuwa na Amani, pindi uwepo wa Mungu unapotukuzwa bila kujali nikiwa safarini,ila sauti ni kikwazo kwa baadhi ya vyombo🤗
 
Kusema kweli hata mimi zile kwaya zinaniboa .. inabidi wakati ilinakata tiketi waseme humu ni injili mwanzo mwisho ili zinazotukera tusipande
 
Kusema kweli hata mimi zile kwaya zinaniboa .. inabidi wakati ilinakata tiketi waseme humu ni injili mwanzo mwisho ili zinazotukera tusipande
Yes
 
Inabidi wenye mabasi waanze kuingiza mabasi yanayotumia headphones badala ya spika
 

Kama ni mimi ndie mmiliki wa mabasi sitaruhusu nyimbo au injili/kwaya ndani ya mabasi yangu
 
Nadhani wanafurahia copy za ndombolo za Nyoshi na FM Academia zilizoingiziwa mistari ya Biblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…