OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Noti ya sh elfu kumi ina tosha kununua cret la soda..yaweza kuwa mleta mada ni mnywa soda mzuriNoti ya sh elfu kumi unaweza kulipia watu wangapi?au kuna noti ya 50000
Unalipa Kwa njia gani mpaka idhaniwe unalipia wote?Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.
Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote. Kata ya aliyekupa hela,kama anahitaji ukate ya watu wote subiri aseme yeye. Sio kumungoza!!
Hii ni kero kwangu kwa sababu kuna watu wanapenda sana mteremko,mkienda kula anategea kulipa. Akimaliza kula anashika simu anazugaaa akisubiri uulizwe. Ukiukizwa kuna ile aibu,unajikuta unalipa tu zote.
Ni hayo tu
aisee na mimi huwa inanikera Sana hii tabiaNi pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.
Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote. Kata ya aliyekupa hela,kama anahitaji ukate ya watu wote subiri aseme yeye. Sio kumungoza!!
Hii ni kero kwangu kwa sababu kuna watu wanapenda sana mteremko,mkienda kula anategea kulipa. Akimaliza kula anashika simu anazugaaa akisubiri uulizwe. Ukiukizwa kuna ile aibu,unajikuta unalipa tu zote.
Ni hayo tu
We wangumbaru una hela ya kutoka kwenda kula mbuzi choma na michemsho mixer vileo!!? we huwezi kuyajua hayo dada,tulia ulee mimba hiyo 📢Noti ya sh elfu kumi unaweza kulipia watu wangapi?au kuna noti ya 50000
Hii ni awamu ya 6 mtafuta maarifa The Knowledge Seeker .Awamu ya 4 nilikuwaga mwenyekiti wa hizi kamati na bills zote huwaga nkilipa, awamu ya 5 sasa hivi ni mjumbe mualialikwa na bills nalipiwa
Hii ni tabia ya kishenzi sana.....unaweza ukawa umekaa na washkaji lakini haukupanga kuwalipia....ukajikuta unaitikia akate yoteNi pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.
Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote. Kata ya aliyekupa hela,kama anahitaji ukate ya watu wote subiri aseme yeye. Sio kumungoza!!
Hii ni kero kwangu kwa sababu kuna watu wanapenda sana mteremko,mkienda kula anategea kulipa. Akimaliza kula anashika simu anazugaaa akisubiri uulizwe. Ukiukizwa kuna ile aibu,unajikuta unalipa tu zote.
Ni hayo tu
No babe,jamaa yupo sahihi, huwezi kulipia watu kila siku haya maisha tunaishi kwa budgetKama pesa ipo unawalipia tu kwani unapungukiwa na nini mkuu
Sema hao marafiki ambao ukifika muda wa kulipa bills wanajifanya busy na simu sio marafiki wazuri, ni wa kuwakataa kabisa.No babe,jamaa yupo sahihi, huwezi kulipia watu kila siku haya maisha tunaishi kwa budget
na mimi ningekuwa hivi usingepata viji dhawadi😘
Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.