Kero yangu: Kuulizwa kama nalipa bili ya watu wote

Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.

Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote. Kata ya aliyekupa hela,kama anahitaji ukate ya watu wote subiri aseme yeye. Sio kumungoza!!

Hii ni kero kwangu kwa sababu kuna watu wanapenda sana mteremko,mkienda kula anategea kulipa. Akimaliza kula anashika simu anazugaaa akisubiri uulizwe. Ukiukizwa kuna ile aibu,unajikuta unalipa tu zote.

Ni hayo tu
Kumbe hii kero ni 'kero mtambuka'😀 Nadhani ni uvivu wa wahudumu kukusanya madeni. Mie huwa nashangaaa kwa nini wakati wa kuleta kama ni chakula hawaweki sinia moja.
 
Sema hao marafiki ambao ukifika muda wa kulipa bills wanajifanya busy na simu sio marafiki wazuri, ni wa kuwakataa kabisa.

Halaf kwa mwanaume kwenda sehemu ukisubiri kulipiwa bills na mwanaume mwenzako daah inaleta ukakasi kidogo
kabisa My wangu
 
Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.

Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote. Kata ya aliyekupa hela,kama anahitaji ukate ya watu wote subiri aseme yeye. Sio kumungoza!!

Hii ni kero kwangu kwa sababu kuna watu wanapenda sana mteremko,mkienda kula anategea kulipa. Akimaliza kula anashika simu anazugaaa akisubiri uulizwe. Ukiukizwa kuna ile aibu,unajikuta unalipa tu zote.

Ni hayo tu
kaka tutafute pesa. ukiwa nazo wewe ndio utakuwa unagombania uwe wa kwanza kulipa kabla wenzio hawajaweka mikono mfukoni au hawajaanza kuangaliana usoni. tupambane tutafute pesa ndugu.
 
Back
Top Bottom