Kero yangu: Kuulizwa kama nalipa bili ya watu wote

Kumbe hii kero ni 'kero mtambuka'😀 Nadhani ni uvivu wa wahudumu kukusanya madeni. Mie huwa nashangaaa kwa nini wakati wa kuleta kama ni chakula hawaweki sinia moja.
 
Sema hao marafiki ambao ukifika muda wa kulipa bills wanajifanya busy na simu sio marafiki wazuri, ni wa kuwakataa kabisa.

Halaf kwa mwanaume kwenda sehemu ukisubiri kulipiwa bills na mwanaume mwenzako daah inaleta ukakasi kidogo
kabisa My wangu
 
kaka tutafute pesa. ukiwa nazo wewe ndio utakuwa unagombania uwe wa kwanza kulipa kabla wenzio hawajaweka mikono mfukoni au hawajaanza kuangaliana usoni. tupambane tutafute pesa ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…