KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku.
2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme...
3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao.
4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa kadhia na mateso tunayoyapitia.
😠
 
Wewe nahisi upo TAMISEMI tena muuguzi wewe 🤣🤣🤣🤣 Mafia bora uache kazi unaendaje huko ukimbizini
 
Hv huko mafia kuna meli au boti ya moja kwa moja toka huko had dsm au inaishia pale nyamisati tu
 
Mafia kila mtu mwanasayansi hapo
 
Hv huko mafia kuna meli au boti ya moja kwa moja toka huko had dsm au inaishia pale nyamisati tu
1774419380315.jpeg
 
Back
Top Bottom