Kero za kudate mume wa mtu

Nasubiri hii mada iishe ianze ya wanaume kutembea na wake za watu. Of which ni case nyingi sana pia.

Kuna mnaosema mitala ni tamaduni ya kiAfrica lakini angalieni madhara ya mitala. Baba zangu wamezaliwa kwenye mitala, hakuna umoja wala nini. Watoto wa huku wa huku, wa kule wa kule. Tunao ndugu zetu waliopatikana kwa namna hizo hizo na mambo ni yale yale. Kuna familia unakuta mke huyu anaroga watoto wa mke wenzie wengine hawaolewi, wengine hawazai, wengine hawapati kazi kamwe. Mnavyotetea mitala jueni mnatetea kitu gani.

Angalieni watoto wa Daudi, hawakupendanaga wale. Kulikuwa na factions hatari. Kama mnapenda hizi mbanga basi fresh. Kuna dada mmoja alikuwa mchepuko, akaenda kuroga watoto wa mke wa jamaa mpaka watoto wakaanza kuumwa, kulazwa lazwa hospitali kila mara. Ni mitala michache sana ambayo imeleta amani na mshikamano. Na kwa kizazi hiki usidhanie wewe mwanaume ukiishi maisha haya utaleta umoja. Hata kama utalazimisha mtoto kutambulika and all that. Labda neema ya Kristo iingie kwenye mioyo ya watoto wako ndo ianze kufundisha upendo na kusamehe baba aliyoyafanya. Kuna wengine mnapraise mitala ila kiuhalisia mkishaanza hizo habari, watoto wanakula machikichi, maharage tu kila siku, ili tu uweze kumuhudumia huyo wa nje. Unakuta mtoto kiatu cha shule kimeisha af baba yake kanunulia mamdodo kitimoto kilo mbili bar na bia. Kiatu cha mtoto hujanunua. ASILIMIA KUBWA YA WANAUME MNAFANYA HAYA.

Unaacha kwa mkeo 10k kwamba hali ngumu, ukienda huko unaacha 20k, watoto sometimes wana mahitaji unasema huna hela, huku unajua mwenyewe unayofanya. Haya machozi mnayoliza watu ndo huwa yanawaback fire. Baadae Mungu anamtetea mwanamke huyu mnasema ana dharau, sio dharau. Alishaumia akaamua kujiimarisha kwa ajili ya watoto wake, atunze afya yake ya akili kwa ajili ya wanae. Baba, Kaka zetu..kuweni makini sana na hizi njia mnazopita. Though pia wanawake nasi saivi tuko fire..basi masikitiko tu. Mungu na aturehemu sana.
 
Dada umeandika kwa uchungu Sana .nakuombea ndoa yako isiwe na side dish
 
SWALI
ALIYELETA UTARATIBU WA KUOA MKE MMOJA NI NANI???
 
Ni bahati mbaya tu haukuwahi kukutana na mimi
 
Kuna centre tunasimamia vijana kama 1000,ikitokea mdhabuni amechemsha Huwa tunawapa ugali maharage na wali tuu,ukifanyika hivyo vijana wanakiwasha wanasema hawawezi kuka mlo mmoja kwa wiki,je wewe ndugu katika yehova unaweza kula chakula gani kwa mwaka mmoja na kisikukifu,na bahati mbaya hamjui tuu,kila **** ina ladha yake,nyingine inatekenya ndani kwa ndani,nyingine inanata kwa utamu,Kuna kidimbwi,Kuna wengine wanatetemeka hawataki hata uwaaxhie,Kuna wengine wananukia uchi wao mwanzo mwisho,Kuna wengine li kisimi lefu mpaka linafika begani,wengine paja jeusi kama mkaa,wengine tv chogo wengine flat screen,hebu nambie mdada ukose yote sababu ya mbugila mmoja hell no!!!
 
Duuuuh😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…