Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa.Nipee Kila wakati nibaki njia kuu tu. Ujue kutombarrrr tombarrrrrr wanawake ovyo ovyo Haina afya sana kwenye mahusiano
Wakuanza nae chini hapana!awe amejipata japo nusu ya safari....takwimu zaonyesha maskini akipata matador hulia mbwataTafuta wako Akupende Na Umpende Anza naye chini hata kama hana Kitu Wanaume wengi wakiwa wanajitafuta wanakuwa wa hovyo ila akipat mwanamke sahihi anakuwa kwenye mstali Sasa Nyie wanawake mnataka Umkute mwanaume ashajipanga kumbe akijipanga kuna mtu ashajipanga naye ndio huko sasa unako angukia kwa waume za watu.
Ananipeleka wapi kwanza🤣🤣🤣we acha tu...be smart usipelekwepelekwe
Na ww kwann u date na mume wa mtu kama sio njaa zako na tamaa zako zinakupeleka ww umajua kabisa uyu ni family man and married man why una date nae vitu vingine kujitakia tuu nyny wadada na njaa njaa zenu ndo uwaponza...Hey
Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine. Jamani, kina dada, hii kitu mimi ilishanishinda; sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo. Yawezekana ukute huu muda dada uko hotel happily na married man, lakini sijawahi enjoy. Nishajaribu kudate nao mara kadhaa, ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua. Sifiki mbali; kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao. Mfano:
1. UONGO
Jamani hao viumbe ni waongo, Shetani akasome. Utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke, kwanza alilazimishwa kumuoa. Mwingine utasikia: "Silali nae chumba kimoja, mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic." Ukisikia hizo mambo za design hivo, sister, Don't buy it!
2. UNAFIKI
Hao jamaa, achana nao. Kuna wale wanafiki uko nao, ila kila muda utasikia "wife this, wife that." Yaani anajifanya anampeeeeendaaaa, unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat? Nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini, hilo penzi linanishinda kabisa; inakata sana stimu.
3. UMBEA
Kuna wale wasengenya wake zao. Ooooh, usiombe ukutane nao. Anamuanika mkewe, unabaki kushangaa. Huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi, mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii.
NUKSI
Ukiwa nao, hayo mambo hayaendi kabisa. Kuna namna tu unakuwa unakwama. Sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi, au ni vile mimi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty. Utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13:4 "ndo na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi" kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi.
KUFICHWAFICHWA
Yaani unakuwa kama heroine, huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu. Utasikia "Baby, ndio nimefika home, usinipigie, usiku mwema, nakupenda sana." 🙄🙄🙄 Whaaaat?
Anyway, yako mengi. Sijui wenzangu mnawezaje, ila kupanga ni kuchagua, maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single. Wake up, weekend njemaaa!
Na bado ukamtaka tu?Anaweza hata kukutoa Figo akauze!
Tulia at your own risk 🤣 mambo ya kuambiana ntakupa kesho nimechoka ni bonge moja la turnoff.Hiyo biashara haipo, ila wanaoweza kutulia watulie tu. Nilitulia for 6yrs, ila mambo ya kupangiwa na kupewa kwa ratiba yalinishinda.
Umeongea point sana, mimi ni mwanaume ila nasema ndoa za mitala zinasababisha shida kubwa sana.Nasubiri hii mada iishe ianze ya wanaume kutembea na wake za watu. Of which ni case nyingi sana pia.
Kuna mnaosema mitala ni tamaduni ya kiAfrica lakini angalieni madhara ya mitala. Baba zangu wamezaliwa kwenye mitala, hakuna umoja wala nini. Watoto wa huku wa huku, wa kule wa kule. Tunao ndugu zetu waliopatikana kwa namna hizo hizo na mambo ni yale yale. Kuna familia unakuta mke huyu anaroga watoto wa mke wenzie wengine hawaolewi, wengine hawazai, wengine hawapati kazi kamwe. Mnavyotetea mitala jueni mnatetea kitu gani.
Angalieni watoto wa Daudi, hawakupendanaga wale. Kulikuwa na factions hatari. Kama mnapenda hizi mbanga basi fresh. Kuna dada mmoja alikuwa mchepuko, akaenda kuroga watoto wa mke wa jamaa mpaka watoto wakaanza kuumwa, kulazwa lazwa hospitali kila mara. Ni mitala michache sana ambayo imeleta amani na mshikamano. Na kwa kizazi hiki usidhanie wewe mwanaume ukiishi maisha haya utaleta umoja. Hata kama utalazimisha mtoto kutambulika and all that. Labda neema ya Kristo iingie kwenye mioyo ya watoto wako ndo ianze kufundisha upendo na kusamehe baba aliyoyafanya. Kuna wengine mnapraise mitala ila kiuhalisia mkishaanza hizo habari, watoto wanakula machikichi, maharage tu kila siku, ili tu uweze kumuhudumia huyo wa nje. Unakuta mtoto kiatu cha shule kimeisha af baba yake kanunulia mamdodo kitimoto kilo mbili bar na bia. Kiatu cha mtoto hujanunua. ASILIMIA KUBWA YA WANAUME MNAFANYA HAYA.
Unaacha kwa mkeo 10k kwamba hali ngumu, ukienda huko unaacha 20k, watoto sometimes wana mahitaji unasema huna hela, huku unajua mwenyewe unayofanya. Haya machozi mnayoliza watu ndo huwa yanawaback fire. Baadae Mungu anamtetea mwanamke huyu mnasema ana dharau, sio dharau. Alishaumia akaamua kujiimarisha kwa ajili ya watoto wake, atunze afya yake ya akili kwa ajili ya wanae. Baba, Kaka zetu..kuweni makini sana na hizi njia mnazopita. Though pia wanawake nasi saivi tuko fire..basi masikitiko tu. Mungu na aturehemu sana.
Kwenye mimba labda niwe nimeamua na mimi kuzaa🥲🥲Utashangaa kakupa zawadi ya mimba eti ili usimuache