Kero za kudate mume wa mtu

Wakuanza nae chini hapana!awe amejipata japo nusu ya safari....takwimu zaonyesha maskini akipata matador hulia mbwata
 
Kero huwa haziishii haijalishii upo kwenye ndoa au upo na Mume wa mtu au mke wa MTU nikupambana nazo tu
 
Na ww kwann u date na mume wa mtu kama sio njaa zako na tamaa zako zinakupeleka ww umajua kabisa uyu ni family man and married man why una date nae vitu vingine kujitakia tuu nyny wadada na njaa njaa zenu ndo uwaponza...
 
Umeongea point sana, mimi ni mwanaume ila nasema ndoa za mitala zinasababisha shida kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…