Kero za kudate mume wa mtu

Self promo
 
 

Attachments

  • 20240921_183608.jpg
    84.5 KB · Views: 5
U see!umenipata ninachosema sasa...mcheps alikuwa fundi,akkakupagawisha alivyoweza,na mtoto akakuzalia see you now upo hapa UNASHUKURU unazeeka pamoja na mke wako
ndio maisha dada joannah, nature yetu wanaume tunaongozwa na tamaa , nyie wanawake mpo wengi sana kwaiyo tukisema tuegemee tu kwa wake zetu hawa wasio na waume nani atawajali unafikiri, vijana wenyewe sasaivi wanashindana kunywa midabo kiki na ndoto zao za kipuuzi kwamba apate jimama limlee,
 
Dah ulivyoongea utasema unawajali na kuwaonea huruma,kumbe ni kuwatumia tu
 
Hapa nadhani wewe umedharirika zaidi kuliko wa lengwa. Maana yake hiyo papachu imetumika na wengi sana.
 
Uongo 💯😜
 
Aisee kuna age group mtu akifika it's by grace of God..
Ni kweli kwamba kuolewa/kuoa inakuja anytime ila tukiangalia uhalisia...mmmh, ujue tu mwanaume akiwa 30s aghalabu sana kuoa mwanamke wa 30s.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…