Kero za kudate mume wa mtu

Kero za kudate mume wa mtu

Yaan umeongea kama mme wangu likifika suala la umalaya ni mnafki huyu baba sijapata kuona anatoa siri za familia anawwaambia michepuko yake kutwa kunikandia mama yake hanipendi utazan mimi nna shida ya kupendwa,ila michepuko yake inamfaidi maana anaipa sanaaa kipaumbele kuliko mimi na akizaa kwao wanafurahiii sana
Daaah,so disappointing....kazana kumuombea
 
Kuna stage ambapo mwanamke yupo single, hakuna picha inayosoma na anahitaji mtu wa kumpa liwazo, ndipo married man anapoingia na kutuliza mawimbi. Siku akikutana na mtu akahisi kuna future sisi married men hatuna shida, let her go aanzishe maisha yake mengine.

Kuna wale early thirties-mid forties ambao wengi ni ngumu kupata mume, hapo ndipo married man anapoingia, usipuuze ngumu ya mume wa mtu.
Hakuna mwisho wa kukosa mume trust me!ni vile mtu unaweka ubongo wako kwamba mi tayari niko late ngoja nikomae na mume wa mtu kumbe hapo ndio unazidi kupotea,maana utajifanya uko Royal,hutoki out ukutane na watu ukitoka uko na huyo married wako unazidi poteza ramani!hivi unajua kuna wakaka wako 30-50 hawana wake kwa sababu moja au nyingine?hapana kung'ang'ana na mume wa mtu ni roho ya kushindwa na kukata tamaa......
 
Back
Top Bottom