Kero za kudate mume wa mtu

Kero za kudate mume wa mtu

Shida ya michepuko huwa ni kutaka kukumiliki huku akijua unamilikiwa yaani niache familia yangu na watoto kwa ajili ya utamu wako ,eti unaliza unampenda mkeo au mimi ? ,Eti unamsikiloza mmkeo au mimi ,mbona Mkoe mbaya kuliko mm na kelele kibao

USSR
Utoe friji ndani uingize deli.!!
Km sio u$enge ni nini?? 😹
 
Acha umalaya mbona walio single wapo wengi kuna unalizima gani WA kudate na married man?🤣🤣🤣
 
Ahahah,,eti "wife this, wife that!"


Ila sisi wame za watu tunajua kutunza michepuko, mchepuko wangu wa kwanza alikuwa rafiki wa mke wangu anamletea nguo na mikoba kwa mkopo, iyo mwaka 2004, nilienda naee yule mchepukoo, siku wife alipogundua alimfuata dukani kwake tegeta, zilipigwa sana,
Mpk kuwekana ndani.. kumkomesha akaja kunizalia na mtoto kabisa,
Na yy akikubambikia mtoto usije kujiliza
 
Malaya mna tabu sana, hamridhiki, mtatombana na mume wa mtu kesho ndugu yake, kesho kutwa tena mnasemea kwa mkewe kumuharibia.

Bitches aint shit
😂😂😂😂 Share uzoefu wako kwanza
 
Hey

Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi...

Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine. Jamani, kina dada, hii kitu mimi ilishanishinda; sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo. Yawezekana ukute huu muda dada uko hotel happily na married man, lakini sijawahi enjoy. Nishajaribu kudate nao mara kadhaa, ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua. Sifiki mbali; kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao. Mfano:

1. UONGO

Jamani hao viumbe ni waongo, Shetani akasome. Utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke, kwanza alilazimishwa kumuoa. Mwingine utasikia: "Silali nae chumba kimoja, mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic." Ukisikia hizo mambo za design hivo, sister, Don't buy it!

2. UNAFIKI

Hao jamaa, achana nao. Kuna wale wanafiki uko nao, ila kila muda utasikia "wife this, wife that." Yaani anajifanya anampeeeeendaaaa, unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat? Nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini, hilo penzi linanishinda kabisa; inakata sana stimu.

3. UMBEA

Kuna wale wasengenya wake zao. Ooooh, usiombe ukutane nao. Anamuanika mkewe, unabaki kushangaa. Huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi, mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii.

NUKSI

Ukiwa nao, hayo mambo hayaendi kabisa. Kuna namna tu unakuwa unakwama. Sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi, au ni vile mimi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty. Utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13:4 "ndo na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi" kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi.

KUFICHWAFICHWA

Yaani unakuwa kama heroine, huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu. Utasikia "Baby, ndio nimefika home, usinipigie, usiku mwema, nakupenda sana." 🙄🙄🙄 Whaaaat?

Anyway, yako mengi. Sijui wenzangu mnawezaje, ila kupanga ni kuchagua, maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single. Wake up, weekend njemaaa!
Pole sana
 
Back
Top Bottom