Tanganyika ni mvamizi aliyejificha kwenye jina la Tanzania
Uvamizi kwa kivipi?Tanzania Bara ipo, Zanzibar(au Tanzania visiwani) ipo. Labda kasema Raia kutoka Tz Bara hawaruhusiwi kuwa na mashamba wala plot za kujenga nyumba Tanzania Visiwani(Zanzibar)! Je, hii ni kweli kama ni kweli basi hii ni kero muhimu ya kuishuhulikia. Ni miaka 57 hii kero ipo!