Tanganyika ni mvamizi aliyejificha kwenye jina la Tanzania
Tunataka TANGANYIKA yetu pia then ZANZIBAR yao pia Ndo twende sawa ,TANGANYIKA imekua koloni la Zanzibar haikubalikiNafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
Uvamizi kwa kivipi?Tanzania Bara ipo, Zanzibar(au Tanzania visiwani) ipo. Labda kasema Raia kutoka Tz Bara hawaruhusiwi kuwa na mashamba wala plot za kujenga nyumba Tanzania Visiwani(Zanzibar)! Je, hii ni kweli kama ni kweli basi hii ni kero muhimu ya kuishuhulikia. Ni miaka 57 hii kero ipo!
Haina shida; bahari na maji ni mali ya Tanganyika. Nchi Kavu itakuwa mali ya Zanzibar.Hofu ya Tanganyika ni mgawo wa bahari kuu muungano ukivunjika.
Acha utani. Taratibu ya kimataifa ya mgao wa bahari kuu itawaliza. Sana.Tanganyika itaambulia ekari chache ya Bahari kuu.Rejea kesi ya Somalia Kenya maritime border.Haina shida; bahari na maji ni mali ya Tanganyika. Nchi Kavu itakuwa mali ya Zanzibar.
Zanzibar ndogo mno haiwezi chukua bahari hataAcha utani. Taratibu ya kimataifa ya mgao wa bahari kuu itawaliza. Sana.Tanganyika itaambulia ekari chache ya Bahari kuu.Rejea kesi ya Somalia Kenya maritime border.
Hati gani, kwani kuna hati gani Mwanza na Dar es Salaam kuwa nchi moja ama Pemba na Ugunja? Kuna makubaliano mengine siyo lazima ziwe na hati kama zilivyo ndoa siyo wanandoa wote wana cheti cha ndoa.Kwani kuna Muungano ? Hebu ileteni hati ya makubaliano ya Muungano tuione. Ndio tuujadili kama ni wa kuvunjwa au kuamka na kutangaza kila mtu asepe kivyake.
Kasema Nani au kitabu gani kiliandika ?Hati gani, kwani kuna hati gani Mwanza na Dar es Salaam kuwa nchi moja ama Pemba na Ugunja? Kuna makubaliano mengine siyo lazima ziwe na hati kama zilivyo ndoa siyo wanandoa wote wana cheti cha ndoa.
Vitabu vipo vingi, na picha na video wakichanganya udongo waasisi.Kasema Nani au kitabu gani kiliandika ?
Hicho ndicho kitabu ?
Kabla ya kuungana si mipaka ilikuwepo?!Hofu ya Tanganyika ni mgawo wa bahari kuu muungano ukivunjika.