Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
- Thread starter
- #21
Wabongo wajinga Sana akili ndogo kichwani.Iliwahi nikuta iyo 2022 moshi nime amia nyumba ina zile za kusoma matumizi kila chumba ,lakini kwakua wana jijua wana tumia sana wakawa wanakataa kusoma etii apa tuna utaratibu wa kulipia tu nika goma asee,
bill ikawa natoa buku mda mwingine jero na umeme ulikua aukai kabisa watu Wana washa fridge 24hrs