Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

Kumbe na ww n sawa na hawa ninaowaonaga wasumbufu.

Ww haujakatazwa kununua tv, feni wala friji, kwann usinunue?.

Then hakunaga formula inayochakata hesabu za matumizi ya umeme kwa kila member wa chumba ikiwa mnachangia luku 1.

Kimsingi hapo amna shida, wachangie wenzako wasojua kujibana.
We ndo wale wale
 
Sasa ulikua unatumia maji ya kisimani au dukani?
Nina vyombo vya kutunzia maji ya mvua... kipindi cha mvua huwa situmii maji ya bomba....
Hivyo waliponilipisha ile miezi ya mvua,mvua zilipokata nikaamua nimalizie maji yangu kwa mbwembwe...
 
Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater

Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
Katafute nyumba ya hadhi yako mkuu
 
Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater

Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
Hama. Kwani taa za ulinzi zinawalindia jirani tu?
 
Back
Top Bottom