Wabongo wajinga Sana akili ndogo kichwani.Iliwahi nikuta iyo 2022 moshi nime amia nyumba ina zile za kusoma matumizi kila chumba ,lakini kwakua wana jijua wana tumia sana wakawa wanakataa kusoma etii apa tuna utaratibu wa kulipia tu nika goma asee,
bill ikawa natoa buku mda mwingine jero na umeme ulikua aukai kabisa watu Wana washa fridge 24hrs
Bro heshima naombaa ichukue mkondo wake tafadhali ,usipaite Temeke uswahili tena ,tutakosanaWTF
Nimekuambia that day now naishi sinza hiyo issue ilitokea Kwa watu ambao ni broke Temeke uswahilini
😁😁😁Watajuaje kama una pasi ya umeme na jagi la kuchemshia maji? Usikute hata una jiko la umeme wewe
Pamoja nigga 👊Sawa very sorry niggaz
Hatari sanaKwanza sio Ita ni heater. Turudi kwenye mada, sasa na wewe si ununue fridge, pasi na TV?
Huo ni ujinga wako sinuhame tafuta sehemu ya kita yakoHii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater
Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
Mkuu naona umeamua kuandika hii Habari kwa wakati uliopita ili kuficha aibu ya kukaa chumba kimoja mpaka sasa, Pole mkuu pambana ujikwamue hapo ulipoHii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater
Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
Kwahyo ww kwenda kupangaa sinza nyumba ya laki 3 ndy unajiona mjanja asee wajinga huwa wanakuwa wengi sanaUtapanga daima you can't get anywhere Kwa kuumiza wenzio
Wale wajinga nimewaacha uswahilini wanakula msoto.
kipindi hicho ulikua na hali ngumu sana ee gentleman?Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater
Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiWatajuaje kama una pasi ya umeme na jagi la kuchemshia maji? Usikute hata una jiko la umeme wewe
Sasa ulikua unatumia maji ya kisimani au dukani?Mi sikuchota maji bombani miezi miwili...bili ilipotoka kulipa kukawa palepale....
Mwezi uliofuata nikawa nachota maji namwaga nje ya geti kupunguza vumbi...walivimba walichina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]So vitu vya kuwaza hivo hata kama una taa Moja we lipa. Cha muhim usije ukakuta umeme umeisha afu walete uswahili kununua ikiwa hivo wapelekee moto