Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

We ndo wale wale
 
Sasa ulikua unatumia maji ya kisimani au dukani?
Nina vyombo vya kutunzia maji ya mvua... kipindi cha mvua huwa situmii maji ya bomba....
Hivyo waliponilipisha ile miezi ya mvua,mvua zilipokata nikaamua nimalizie maji yangu kwa mbwembwe...
 
Katafute nyumba ya hadhi yako mkuu
 
Hama. Kwani taa za ulinzi zinawalindia jirani tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…