Yote hayo ya kujitakia tu, acheni muungano kama mnakereka nao.Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.
TakbiiirMapori yote ya huko bara bado unataka ardhi ya Zanzibar? Tamaa tuu.
ٱللَّٰهُ أَكْبَرُTakbiiir
Ila wao wakija huku wanataka Kila fursa. Ni ngumu sana ata ukiwa mtu wa bara kuajiriwa zanzibarIkiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.
Na Kuna Wizara kamili ya Muungano? Hivi hufanya kazi gani wakiingia ofisini?Ila wao wakija kuku wanataka Kila fursa. Ni ngumu sana ata ukiwa mtu wa bara kuajiriwa zanzibar
Sasa nini maana ya kusema Zanzibar ni Tanzania visiwani?Hata upande wa ajira ikitokea kuna nafasi zipo kule basi kwa sehemu zilizo nyingi lazima waandike mwombaji lazima awe na kitambulisho cha Mzanzibari mkazi ambapo hapo ni kama wameamua ajira wapate wao kwa wao tu lakini ukija huku bara hamna mambo hayo.
Inasikitisha sana yaani.
Ndo hata na mimi nabakiaga kushangaa.Sasa nini maana ya kusema Zanzibar ni Tanzania visiwani?
Siku akija rais mwenye mawazo kama yangu, vile visiwa vitakuwa ni moja ya mikoa ya Tanzania huku sheria ikiwa ni moja kila mahali! Yani itakuwa mtu anayetoka Zanzibar ni sawa na aliyepo Mbeya Arusha Dar es Salaam, Morogoro nk... Vivyo hivyo na anayetoka Tanzania Bara itakuwa sawa.Ndo hata na mimi nabakiaga kushangaa.
Sema kwa namna ipo ni ngumu sana kulibadilisha hilo.Siku akija rais mwenye mawazo kama yangu, vile visiwa vitakuwa ni moja ya mikoa ya Tanzania huku sheria ikiwa ni moja kila mahali! Yani itakuwa mtu anayetoka Zanzibar ni sawa na aliyepo Mbeya Arusha Dar es Salaam, Morogoro nk... Vivyo hivyo na anayetoka Tanzania Bara itakuwa sawa.
Nchi moja hii kwanini tugawanywe kwa mafungu?
Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.