Chawa wa chuma
Member
- Jan 24, 2023
- 56
- 37
wacha majungu ivyo vitambulisho hadi wamasai wanavyoHata upande wa ajira ikitokea kuna nafasi zipo kule basi kwa sehemu zilizo nyingi lazima waandike mwombaji lazima awe na kitambulisho cha Mzanzibari mkazi ambapo hapo ni kama wameamua ajira wapaeane wao kwa wao tu lakini ukija huku bara hamna mambo hayo.
Inasikitisha sana yaani.