Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

Unatulisha wewe kama nani? Chakula tunanunua kama wanavyonunua wengine wa nchi jirani.

Hebu jiulize kabla ya huu muungano Zanzibar walikuwa wanapata wapi chakula?
Kwa hiyo unakataa nyinyi Wazanzibari siyo changu changu, chako changu kwa Tanganyika!
 
Zanzibar inathamini ngozi nyeupe kuliko watanganyika ngozi ya kifo
 
Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo.

1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).

2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani.

3. Kukosa fursa ya kumiliki ARDHI.

4. Bullying "name calling" (kuitwa CHOGO).

5. Uhuru wa kuabudu mashakani (ref. Uchomaji Moto nyumba za ibada
Acha unafiki Hizo sio kero za muugano. Ni utaratibu wa kila mkoa. na halmashauri zake. Kwanza Ardhui ya Zanzibar ipo baharini. Je umeshajaribu kutaka kujenga ndani ya bahari wamekukosesha kibali? Usifananyishe Bara na visiwani. Kila upande umejiwekea utaratibu ili kulinda mipaka yake na kuenzi tamaduni na mila zake.
 
nawachukia hao watu wabaguzi sana .kuna mmoja alikua RAS pale Tanga mjini bas wazenji wote walitolewa polini kuhamia Tanga jiji
 
Zanzibar ukiona sehem wapo wanaume 5 basi kati yao mashoga ni 3. Wana mambo mengi ya kisenge sometimes tuwasamehe tu hata akili hawana...
 
Sasa utamiliki vipi ardhi ka nchi kenyewe "ukipiga filimbi watu wote nchi ile wanasikia". "Zanzibar unaweza zunguka nchi nzima kwa baiskeli"
 
Ninachokipenda kuhusu nchi hiyo sisi ndio tunawachagulia raisi wao hapo Dodoma! Nyerere fundi bwana.
 
Zanzibar ni ya wazanzibari kwa ajili ya wazanzibari na Tanganyika ni ya watanganyika na wazanzibari na ni kwa ajili ya pande zote za muungano.

Huu muungano ni wa kidwanzi haujawahi kutokea.
Made in Tanzania 🇹🇿
 
Kwa nini watawala hawataki muungano wa serikali moja ambayo ndiyo sera yao waliyoiweka hadharani zama za G55?
Muungano wa serikali moja itawabana wazanzibari na Asili yao itafutika na kumezwa na Watanganyika ni sawa uchanganye chumvi kilo kumi na sukari nusu matokea yake Sukari haita onekana itamezwa na chumvi

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Acha unafiki Hizo sio kero za muugano. Ni utaratibu wa kila mkoa. na halmashauri zake. Kwanza Ardhui ya Zanzibar ipo baharini. Je umeshajaribu kutaka kujenga ndani ya bahari wamekukosesha kibali? Usifananyishe Bara na visiwani. Kila upande umejiwekea utaratibu ili kulinda mipaka yake na kuenzi tamaduni na mila zake.
Lakini wazungu wana nunua ardhi sana uko mashamba Paje, Jambiani, Michamvi kote uko wazanzibari wana uza aridhi kwa wazungu, Wazanzibari wasikuizi wana wapenda sana Wazungu kuliko waarabu sijui kwanini yana wadiriki kuwa uzia mpaka maeneo ya makaburi ya ukoo, baada ya miaka 30 wazanzibari watakuwa wapagani

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Muungano wa serikali moja itawabana wazanzibari na Asili yao itafutika na kumezwa na Watanganyika ni sawa uchanganye chumvi kilo kumi na sukari nusu matokea yake Sukari haita onekana itamezwa na chumvi

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Suala la kumezwa ni la muda tu. Kasi ya watanzania bara ni taratibu na hakika. Na wanapewa vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi.
Baada ya miaka kama 50 mchanganyiko wa wazanzibari utakuwa tafauti sana na sasa.
 
Zanzibar ni ya wazanzibari kwa ajili ya wazanzibari na Tanganyika ni ya watanganyika na wazanzibari na ni kwa ajili ya pande zote za muungano.

Huu muungano ni wa kidwanzi haujawahi kutokea.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom