Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Zanzibar hawako tayari. Kama nyerere mwenyewe alishindwa kwa sasa ni ngumu sana.Kwa nini watawala hawataki muungano wa serikali moja ambayo ndiyo sera yao waliyoiweka hadharani zama za G55?
Ila hakuna maana ya muungano kwa hvi tunavoenda, tunaishi kinafki sana
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app