Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Huu muungano una songobingo nyingi sana. Mojawapo ni hii....
Kule Zanzibar Watanganyika tunaitwa Machogo.
Kule Zanzibar Watanganyika tunaitwa Machogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhani Tabia pia inachangia sana jinsi utakavyokuwa treated Unguja, sijui Pemba sijafika.
Wanawake wa bara hasa waislam au wanaofuata Tabia za uislam huwa wanapokelewa vizuri sana na wanaheshimiwa. Pia hupata kazi kirahisi hasa kazi za binafsi, sijui za serikali.
Pia ukijiheshimu Zanzibar unaishi vizuri tu. Ila kama mtu wa bar na mademu, Zanzibar utaishi kwa tabu.
Hata huku bara, Arumeru, Hai ni kazi sana kuhamia kwa mfano kama wewe ni mtu wa pwani.
Kwani kinachokufanya ung'ang'anie Dar wakati Nanjilinji kuna mapori ya kutosha, ni kitu gani?Mapori yote ya huko bara bado unataka ardhi ya Zanzibar? Tamaa tuu.
Zanzibar ni NchiIkiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.
Sasa utabeba ardhi uende nayo?Mapori yote ya huko bara bado unataka ardhi ya Zanzibar? Tamaa tuu.
Huyo ndiyo ukweli. Hata muislam kuhamia Akeri au Poli hatajisikia huru kupiga adhana mara tano.Kwahiyo mtu akitaka kwenda Zanzibar abadili dini
Nyie mashehe icho kitabu kimewafanya watu wa hovyo
Wao mbona wanakuja kununua adhi bara?Mapori yote ya huko bara bado unataka ardhi ya Zanzibar? Tamaa tuu.
Hili si kweliPia huwezi kupangishwa chumba kama huna lafudhi ya kimakunduchi
Njooni mjenge siku ukivunjika Muungano mnatuachia.nyumba majirani zenu nyie mnarudi kweni kuanza moja karibu sanaWadanganyika bana [emoji23][emoji23][emoji23] kwanini mnaun'gan'gania huo muungano kama mmeshindwa simuuvunje na nina mpango wakuja kununua eneo dar.
Ngoma droo malalamiko ya nini? Mbona sisi 'Wapemba' tunaona sawa tu mukituita hivyo?Na huku kila atokaye Zanzibar tunamuita Mpemba.
Alimradi umekaa kwenye keyboard utaandika ujinga wowoteHuu muungano umetusababishia kupata viongozi wasio na uelewa wwt, wazembe, hawana uchungu na nchi, wapenda starehe, safari wasizojua kwa nini wanasafiri.
Niieshie hapo kwanza.
Wana haki wakuulize maana huko Zanzibar kuna makabila matatu makuu ya bara, hao unaopishana nao wengi wana asili ya unyamwezini, ungoni au wamakonde japo wengine wanaficha, ukweli ndio huo.Kuulizwa ulizwa kila saa wewe ni mnyamwezi ?
Ovyo sana hao watu..!
Zanzibar wako wakristo wa asili na wamekuwa wakiishi kwa kuheshimiana na wenyeji bila ya shida yo yote.Kwahiyo mtu akitaka kwenda Zanzibar abadili dini
Nyie mashehe icho kitabu kimewafanya watu wa hovyo
Tanzania bara - Warundi wengi wamepewa uraia na kupewa ardhi kubwa sana tena sana kuliko ardhi waliyonayo wazanzibari huku bara ikijumlishwa yote! Hivyo kutaka ardhi Zanzibar wakati huku bara ipo nyingi, ni uchokozi usio na faida.Mapori yote ya huko bara bado unataka ardhi ya Zanzibar? Tamaa tuu.
Katiba ya Zanzibar inaitambua Zanzibar kama nchi kamili. Tanganyika ndio nchi moja na Tanzania.Nchi moja hii kwanini tugawanywe kwa mafungu?
inawezekana ni walowezi kama wayahudi.Wao mbona wanakuja kununua adhi bara?
Hiyo namba 2.kama inasound vizuriIkiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo.
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ARDHI.
4. Bullying (kuitwa CHOGO).
5. Uhuru wa kuabudu mashakani (ref. Uchomaji Moto nyumba za ibada)