Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.
Ardhi umenyimwa au ni kibunda huna mkuu.
 
Tatizo wana hisia za kimorroco,wanajifanya wao wanafaa kuwa muungano wa falme za kiarabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Poor watumbatu
Eti wanajiona ndugu zao wa damu ni Waomani!! Halafu cha kushangaza, sisi Watanganyika ndiyo tunaowalisha na kuwanywesha!

Halafu Kutoka huko Oman na Saudia kwenyewe, miaka nenda huwa wanaambulia msaada wa tende tu wakati wa mfungo.
 
Wadanganyika bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwanini mnaun'gan'gania huo muungano kama mmeshindwa simuuvunje na nina mpango wakuja kununua eneo dar.
 
Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.
Na sisi tuwafanyie hivyo hivyo hao wanzibari ikiwa ni pamoja na kuwanyima kuwa marais na mawaziri huku bara, huo ndio usawa unaotakiwa katika muungano wetu.
 
Kwani nani alikuita Zanzibar? kiherehere chako tu , rudi Shinyanga
 
Na sisi tuwafanyie hivyo hivyo hao wanzibari ikiwa ni pamoja na kuwanyima kuwa marais na mawaziri huku bara, huo ndio usawa unaotakiwa katika muungano wetu.
Haiwezekani ,Zanzibar ni nchi kamili ina haki kwenye mambo ya Tanzania, narudia Tanzania sio Tanzania bara
 
Eti wanajiona ndugu zao wa damu ni Waomani!! Halafu cha kushangaza, sisi Watanganyika ndiyo tunaowalisha na kuwanywesha!

Halafu Kutoka huko Oman na Saudia kwenyewe, miaka nenda huwa wanaambulia msaada wa tende tu wakati wa mfungo.
Wanadanganyika na tende za sukari....wananishangazaga Sana watu waliomix race na kuona wao hawausiki na rangi nyeusi wakati wamelala kwenye matumbo meusi
 
nasisi tuna shobo sana na hao watu,kwanza kubayaaa kumekaa kushoto kushoto wanapaweza wenyewe.

ndio maana wakija huku kwao wanapadharau,nyinyi sasa hao na michogo yenu.
 
Haiwezekani ,Zanzibar ni nchi kamili ina haki kwenye mambo ya Tanzania, narudia Tanzania sio Tanzania bara
Wazanzibari mnapenda sana mfimo wa changu changu, chako changu! Tunawaangalia tu mnavyo penda Muungano wa utegemezi.
 
Zanzibar pamechoka sana siwezi kutamani kuhamia zanzobar hebu kwanza linganisha mandhari bandari ya Zanzibar na dar ni kama ahera na mbinguri
 
Wadanganyika bana [emoji23][emoji23][emoji23] kwanini mnaun'gan'gania huo muungano kama mmeshindwa simuuvunje na nina mpango wakuja kununua eneo dar.
Siku tukivunja huu muungano. Wazanzibari wa kawaida(Wasio viongozi) ndio watakao umia.

Walioko kwenye siasa wataneemeka kwa kujipa ma vyeo na vitengo na ujira.

Wazanzibari walioko bara watafukuzwa na kunyang'anywa haki ya kumiliki ardhi.

Think twice.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom