Nitakujibu PM mkuu kwa maana kuna baadhi ya members wa humu wameanza kunionesha roho mbaya na za husda kama huyo jamaa anayejiita Ncha Kali hapo juu.
Wewe hauna nia njema na mimi. Wewe ni wa kuniombea mimi mema kwa Mungu?Umekuwa mcheshi sana, ulileta ombi hadharani lakini mrejesho umekuwa mafichoni... Mungu hadhihakiwi.
Alikuwa anachangamsha genge tu ili kutupima imani
Wewe hauna nia njema na mimi. Wewe ni wa kuniombea mimi mema kwa Mungu?
Sawa mkuu
Una uhakika na ukisemacho?Alikuwa anachangamsha genge tu ili kutupima imani
OkayHaya sawa...
Wenye nia njema na mimi wameniombea ila sikukuomba wewe uniombeeHahahaha!
Wewe si uliomba tukusaidie kuomba, pengine Mungu haelewi lugha yako! [emoji28][emoji28][emoji28]
Kama ilikuwa ni porojo au kweli hiyo ninajua mimi na Mungu wangu.
Wenye nia njema na mimi wameniombea ila sikukuomba wewe uniombee
Rejea heading yako, je uliweka 'exclusion criteria' kwamba hujaniomba mimi?[emoji16]
Thanks. Mungu atakufungulia milango ya barakaHongera mkuu kufikia kite huko sie bado tunapambana
Karne ya 21 na masuala ya kuandika barua kwa mkonoMkuu nyie hamuweki barua kwenye zile bahasha z 50/= nlkiwah kutan no.. Barua n cv zmekunjwa mara 4
Nimekujibu PM tayariMkuu Vipi interview yako iliendaje?
Akikujibu niambieUlifanikiwa mkuu?
Alishanijibu mkuuAkikujibu niambie