Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Nitakujibu PM mkuu kwa maana kuna baadhi ya members wa humu wameanza kunionesha roho mbaya na za husda kama huyo jamaa anayejiita Ncha Kali hapo juu.
Umekuwa mcheshi sana, ulileta ombi hadharani lakini mrejesho umekuwa mafichoni... Mungu hadhihakiwi.