Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
- Thread starter
-
- #21
Ungemfuata pmMkuu, nikikaa kimya eti kwa kuwa nimeelewa habari iliyokosewa nitakuwa sijalitendea haki jukwaa hili. Mimi ni mkongwe humu, kuachia wrong information zisambae kwangu ni usaliti, tena unaozidi ule wa HP
JUZI KUNA GAZETI MOJA LIMEMTAJA KIGOGO MOJA AMBAE NI JIPU WAMEKUJA NA KUMKANUSHIA KUA SIYO JIPU YENA HILO GAZETI LIMUOMBE RADHI HII NDIO SEREKALI YA CCM. CHAMA CHA MAJIPU KUKITENGANISHA NA HAYO HAYO MAJIPU NI SAWA NAKUMTENGANISHA NZI NA KINYESIMazuri yanayojiri dar sifA huwa mnampa magufuli,
Huu ubakaji wa demokrasia unaofanywa na serikali lawama apewe Magufuli maana matendo yote yana baraka zake na ni burudani yake ya kuficha majipu ya dar yasiguswe kabisa yuko tayari kuvumilia maumivu ya majipu yaliyoiva anayoyafuga kwenye mwili wake na kuwa wa kwanza kutafuta sifa kutumbua majipu ya wengine.
Kwakua amewakosea nini?Wamkamate na Mbowe kabisa
Hilo hawajalifikiria la column maana column inabidi izidi nusu au 2/3 ambapo CCM peke yao hawawezi kupata Naona hilo bado hawajaliona.
Waitishe maandamano wapigakura tufanye maamuzi, Magufuli mwenyewe ameishaanza kuchokwa na wananchi baada ya kuona publicit kubwa lakini hospital hakuna dawa na bei ya sembe na sukari haishukiNdiyo mbinu ilyopo kweli lakini wanatengeneza bomu. Nashauri UKAWA wadai maelezo mahamani juu ya zuio batili na kamata kamata isiyo na sababu wala haki
Hao wa nchi jirani? Ccm wanaupofu wa hali ya juu hii nchi siyo ya kwao wenyewe niyetu sote tunamamlaka nayo sote siyo yawachacheAkidi itatimia acha kupotosha. Akidi ni 50%+ sio theluthi mbili. Madiwani wazalendo wa viti maalum kutoka kwa znz na Mafia wameshafika kwny Viunga vya jiji la Dar es salaam kusaidia ndugu zao wa jiji la Dar es salaam kuepusha kunajisiwa jiji.
Huyo anafanyaga Mazingaombwe, Serekali ya Kushtukiza na yamagazeti na TvWaitishe maandamano wapigakura tufanye maamuzi, Magufuli mwenyewe ameishaanza kuchokwa na wananchi baada ya kuona publicit kubwa lakini hospital hakuna dawa na bei ya sembe na sukari haishuki
Akidi itatimia acha kupotosha. Akidi ni 50%+ sio theluthi mbili. Madiwani wazalendo wa viti maalum kutoka kwa znz na Mafia wameshafika kwny Viunga vya jiji la Dar es salaam kusaidia ndugu zao wa jiji la Dar es salaam kuepusha kunajisiwa jiji.
Nusu ni wangapi??Lakini umeelwa au??CCM wanaweza kufikisha hao nusu.Ni nusu bhana sio theluthi mbili. Halafu siku nyingine uandike 'quorum' na sio 'column'
Umesahau bunge la katiba??Wanahangaika tu bila ukawa akidi aiwezi kutimia labda wachague meya Wa Lumumba siyo Wa jiji la dar
...huyo mkurugenzi wa jiji ndie alitakiwa awe ananyea debe sasa hivi kwa kufuta uchaguzi na hati feki ya mahakamani...inasikitisha kama bado watamwacha asimamie uchaguzi ujao wa meya....maana tayari amekosa credibility hiyo...Nitashangaa sana kama hatachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria na waliompa hiyo nafasi...hafai huyo....haya ndiyo tunaita matumizi mabaya ya ofisi ya umma.....
Mkuu siyo kusimamia tu ni aibu ya Mwaka mpaka hivi leo kumwacha hawe huru...huyo mkurugenzi wa jiji ndie alitakiwa awe ananyea debe sasa hivi kwa kufuta uchaguzi na hati feki ya mahakamani...inasikitisha kama bado watamwacha asimamie uchaguzi ujao wa meya....maana tayari amekosa credibility hiyo...Nitashangaa sana kama hatachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria na waliompa hiyo nafasi...hafai huyo....haya ndiyo tunaita matumizi mabaya ya ofisi ya umma.....
Hivi hujaona kwamva sheria ni wale 163 nani anampotosha nani???