Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

Ana wazazi wako vizuri tu.
Basha wake soma mgongoni tatoo yuko safi tu.
Akuombe mchango gani labda ushauri hakigharimu chochote.
 
Irene yuko peace sana ndo nnchompendea.
Ukiskia delila huyo hapo.
Anakutafuna anakuchekea.
Ndikumana mpk kafa analia mshasahau.
Yule mumewe alioa wakapanda farasi pale Azania Church kupita posta kuhamia Uturuki.
Mkataba ulipoisha wa jamaa huko kamuacha jamaa analia.
Mpaka kafa.
Ni huyu huyu hamna jipya.
 
Mtoto wa kishua huyo, ukiona hadi anaomba kwenye media bhasi ujue ni deadly disease na siwezi muombea binadamu mwenzangu kitu kama hicho 🙏🏽🙏🏽
Wambie wanafikiria gigy money uyo, uyo ni mtoto wakishua ambaye kilaza hana akili
 
Back
Top Bottom