Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
 
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Simu zitatoka idara ya habari na maelezo kwamba wasiaandike hiyo habari.
 
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Mainstream media ya bongo ni IKABODI
 
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Mwananchi lazima wa blast wengine sijui
 
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
si muhimu sana na inaweza tu kuchapishwa miongoni mwa habari nyingine za kawaida 🐒
 
Back
Top Bottom