Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Gazeti la UHURU halitaandika kabisa hata jina la Tundu Lissu halitakuwepo pale kabisa.
 
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Yule jamaa asili ya Ulaya anaweza akala mtu shingo.....😂😂😂
 
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Nina siku nyingi sana sijasoma Wala kusikikiza magazeti. Sitaona ajabu hata yasipo andika.
 
Back
Top Bottom