Simu zitatoka idara ya habari na maelezo kwamba wasiaandike hiyo habari.Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Mainstream media ya bongo ni IKABODIHabari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Mwananchi lazima wa blast wengine sijuiHabari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
LabdaMwananchi lazima wa blast wengine sijui
si muhimu sana na inaweza tu kuchapishwa miongoni mwa habari nyingine za kawaida πHabari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivufa nguo na ikiruhusu ichapishwe ni kitanzi pia. Ngoja tuone
Kwako habari muhimu ni kusifia wezi na mafisadi wanaojiita viongozisi muhimu sana na inaweza tu kuchapishwa miongoni mwa habari nyingine za kawaida π
habari yoyote yanye maslahi ya Taifa ni muhimu,Kwako habari muhimu ni kusifia wezi na mafisadi wanaojiita viongozi
Nimethibitisha maneno ya wahenga kwamba: mficha maradhi ugonjwa humuumbuaUkimeza nchale ukitema nchale
Nzuri sana!Habari gani?
'Vita za kiuchumi' ni strategy nzuri, washikilie hapohapo.chadema wasiingize vita za kiuchumi kisiasa