Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

Marehemu mzee Mengi alimzurumu beberu shamba moshi akalipa mabilioni ya fidia London hakunaga gazeti liloandika.
 
Ssa LISU AMEKUJA NA HOJA ZAKE BINAFSI NA SI ZA KITAIFA TENA HAPO NDIO HUWA NACHOKA KABISA WAPINZANI

Mnafiki mkubwa. Wakija na hoja za kitaifa mnawaita wachochezi. Wakija na hoja binafsi mnajifanya kulalamika. Yani wewe ulale na Mme wako usiku mnafanya mapenzi , halafu unasubiria Lissu ndio aseme hoja za kitaifa. Punguza unafiki
 
Hayo magazeti ni yapi kwanza? Uhuru na Daily News? Au Nipashe, Mwananchi au Mfanyakazi au Machinga au Mwanahabari Huru....?

Hata wasipoandika haina impact yoyote.

Ni kwa sababu taarifa "raw" yenyewe ya Press Conference iko hewani imeshasambaa duniani kote kupitia njia za kidigital wakati huohuo akiwa anaongea. Inashangaza wewe unawaza makaratasi ya kesho yanayoitwa "magazeti..!!"

By the way hivi nyie kina Gulwa bado mnasomaga habari za kwenye makaratasi yanayoitwa "Magazeti" wakati habari hizohizo zote ziko online kwenye viganja vya watu..?

Ina maana nyie kina Gulwa ndiyo wale ambao bado huwa mnasubiri kupata taarifa kwa kuvizia taarifa za habari za ITV au TBC au StarTV saa 2usiku?

Duuh, kama ndiyo hivi, basi uko nyuma ya wakati sana, bado mnaishi zama za mawe nyie....!!!
 
Hawataipa ladha halisi .. Wataitiatia nakshi mpaka ipoteze mvuto
 
Yaani watz hasa nyumbu ni shida sana yaani maswala ya Maandamano yamepotea kabisa! Leo nilitegemea Lissu angeongelea Maandamano yaliyofeli lakini amekuja na issue nyingine kabisa na nyumbu wameshaidandia kwa mbele.
 
Mtihani mzito mno kwa vipeperushi vya kufungia maandazi vya nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…